Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tungekuwa na upinzani wenye kujitambua basi hiki ndio kingekuwa kipindi chao cha kuchukua nchi, lkn hata hivyo shida inaanzia kwenye katiba, hili katiba letu bovu linaruhusu Watz kuongozwa hata na mbwa as long as amekubalika na chama.
Mkuu tatizo la katiba iliyopo ni lipi hasa linalozuia wapinzani kuishinda CCM?
 
Watu wa Arusha watapinga hii kauli yako wewe.., big ain't better.., such a backward town ndio eti imeendelea kwa muonekano wako?.., inTanzania hakuna developed city, narudia hakuna!
 
Afisa wa uhamiaji hujambo[emoji1787][emoji1787]
Dozi mpka mnamfutia uraia
 
Kenge kabisa yani, hujamwambia poa
 
Angalia reply yangu hapo juu kabla ya hiyo nimekwambia shuttle ni kutoka city kwenda Airport hapo hata nilikua sijagoogle!

Mzee shuttle ndio core context hata useme shuttle punda kama zile za lamu na mombasani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Maskini, kumbe hata maana ya shuttle hujui alafu unakuja kupiga kelele hapa..
Soma mzigo hapo chini vizuri[emoji1787][emoji1787]
 
Jamaa kumbe zero brain aisee, yani hata google kumbe hajui kutumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…