Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fikieni hapa ndio mpige kelele. Nairobi - Kisumu.

View attachment 1935059
Ila we jamaa unaniacha hoi sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, watu tunapost msururu wa mabasi we unapost kigar kimoja, hapa bongo kila sehem unaskia panaitwa jiji kuna kampuni za mabasi zaidi ya kumi, nielewe sio idadi ya mabasi lah.!! "kuna kampuni za mabasi zaidi ya kumi" achana na hizi towns kama Morogoro, Moshi na Iringa
 
Acha kelele mingi bana, show us any bus in Tanzania that you can compare with this beast.

 
Fikieni hapa ndio mpige kelele. Nairobi - Kisumu.

View attachment 1935059
Nairobi kisumu ndani ya kipanya

No TV, no movies, no music, no drinks, no snacks, charging ports, no bending seats, no 2*2/2*1 seat, no fancy lighting, no large comfort seat, no big luggage carrier, no air conditioning

Safari ya 400km Nairobi kisumu? Hamna mtanzania ataingia humu ndani bro!



Duh aisee mna safari ndefu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
There's something known as "variety" si lazima kila mtu atumie basi.
 
Huyu mwamba na begi lake utadhani anaenda Airport, ila Wakenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu mwamba na begi lake utadhani anaenda Airport, ila Wakenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1935111
Sasa wakija watano wenye mabegi kama hayo si kigari kishajaa hicho? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Mbongo kwanza akitoka atokako kwenda destination yake anabeba mazaga ya kufa mtu, mara mchele, karanga, mafuta ya alizeti, asali, matunda bado huko njiani haja ongeza vya kununua barabarani, ataenea vipi kwenye hicho kigari? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…