Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ati Golden Fry? Please tafuta watu was kudanganyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Golden Fry is manufactured by UniliverπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ebu taja hizo real estates zenye ako nazo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naona unaanza kuchachawa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Lakairo ni levels tofauti, Huwezi fananisha na hao clowns wenu kama jangili ngina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naona unaanza kuchachawa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Lakairo ni levels tofauti, Huwezi fananisha na hao clowns wenu kama jangili ngina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Taja estates zake, mbona unalia SasaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimeona Mkenya anasema Kenya inajenga Meli kubwa kupita zote Ziwa Victoria... Aisee huyu akapimwe mkojo Meli za Kenya ni sawa na mitumbwi kwa Meli za Tanzania.

Tanzania ina Meli zaidi ya 20 operational na Bado inajengwa Ziwa Victoria ambapo Kenya ndio Kwanza Meli wanayaaminia ni sawa na mfu...


Tanzania ina Chelezo kubwa Kuliko zote Africa inafanywa kazi Sasa sijui Wakenya meli zao wanabeba na mkono

 
The day Tanzania will have or construct a ship measuring 100m njoo tuongee, right now mnacheza kwa group ya watoto. Hata Uganda iko na meli kubwa kuliko what you have [emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka tunapoongea sahivi hakuna meli kubwa Lake Victoria zaidi ya New Mv Victoria, na hyo rekodi itavunjwa na Mv Mwanza, meli kubwa zaidi lake Victoria.

Btw wewe ni mpumbavu mmoja uliyekata tamaa kabisa, huwa unaleta masihara kwenye vitu serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…