Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,033
- 107,529
Hehehe😂😂🤣Nenda uwaambie wanaojua maana ya slums waiingize Tz kwenye kundi la nchi zenye slums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni maji😂😂🤣. siku Tanzania itafika hapa unitag tafadhali 😂🤣😂Mbn hutaji hii inaitwaje, ni shimo au ni nini hebu niambie[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sasa hili zuzu linalalamikia nani? hapo Uganda/Ethiopia wanalalamikiwa! Hii ndo sababu huwa tunazuia mifugo ya Kunyaland kuingia Tanzania na mifugo ya Tanzania kwenda Kenya kwa kisingizio cha kufuata malisho!Kenya police don’t have M16s
Jomo kenyatta handled 7mil passengers with a grounded airline ( most of the planes ) and a series of lockdowns. How? Plus a country that has been loosing it's tourist to Tanzania for years. ....how?Undisputed fact number 6 about Tanzania.
Tanzanian biggest airport is only handling 2M passengers in a year, 7M less than ya JKIA [emoji23][emoji1787]
View attachment 1928521
Kwahiyo hii ushaijibu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jibu huu ukuta wa Berlin alafu nikuwekee chuma kingine ili uamini kwamba kuna vingi vipo Tz lkn Kenya havipo jibu huu ukuta wa Berlin nikupe homework nyingine[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1928550
Nilijua tu lazima mjinga mmoja atajitokeza kupinga🤣🤣😂. For your information that graph nimetoa kwa website ya Tanzania Airports Authority. Secondly, Kenya doesn't rely on international travellers like your backward country and that's why most of your Airports are empty all the time 😂😂. Please try to promote domestic travelling 😂😂. Ya mwisho hiyo report ni ya pre-covid so your argument is null and void.Jomo kenyatta handled 7mil passengers with a grounded airline ( most of the planes ) and a series of lockdowns. How? Plus a country that has been loosing it's tourist to Tanzania for years. ....how?
Hizo graph hat mimi naweza kutengeneza na kuweka hapa. Lies is all that you live in.
My take.A true three levels flyover in Kampala
MY TAKE
Kunyaland has something to learn about quality work!
RAISI NI NYERERE NA MAGIFULI TU HAPA TZ WENGINE WOTE NI MAFIII YA KUKU NA BATA
MY TAKE
Mbona sioni Jomo Kenyatta akiwa revered namna hiii huko Uganda?
Mahindi ya tz ndiyo yanawalisha wakunyaSasa nyie wenye nguvu ilikuwaje kufungwa nyingi hivyo na walaji mahindi? Kudadadeki! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Tatizo bongo dar watu wanapesa wangekuwa wanamaisha ngumu kama kenya wangekuwa wanakula ugali asubuhi na chai mchana na jioni ugali tu ,sasa hapo nairobi 80% ya watu mnaishi slum ndiyo maana mnakula sana ugali na michichaHabari za kusikitisha ni kwamba vijana wa bongo sana sana Dar wamelegea sana sababu ya kupenda mihogo, kiepe yai na kitimoto kila mara, sio asubuhi, chamcha hadi chajio. Vipi wakulungwa, msiwe hivyo![emoji16][emoji16][emoji16]
True hapo ni full electronic system za mapato na matengenezo na mafuta basi kazi itakuwa imeisha sijui wizara inayo usika na mambo ya IT kazi yake ninihuu mradi mim mbona naona wakidhibiti ukusanyaji wa nauli au wa mapato kiujumla kazi itakuwa imeisha .. hata hao private sector wakipewa na wakishindwa kudhibiti mapato watafeli pia.. mim naona nguvu nying ielekezwe kwenye udhibiti ukusanyaji wa nauli na mapato mengine .. then hapo tutajua mahesabu vizur kuhusu real revenues vs expenditures
Hawana App ?