Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha upotoshaji wewe,mtoa mada alikuwa na Nia yake binafsi but kwenye kufanya malipo kuna options kibao za mabenki
 
Uchawi haukusaidia wapiga midomo😂😂🤣. Kenya will forever overcome any witchy obstacles placed on our way by Tanzanians 😂😂😂

Mihogo mie naijua lkn nilishangazwa sana na watz walivyoipaisha..
Yani kwenj hyo inatumika km meal bana. !!
Alafu nikuulize, kwn DSTV ni premier league pekeake, walishindwa kumtoa wababe atakuja Azam
Huko kwenye movies, katuni, miereka n.k sio shida kwa Azam. Shida ni premier league tu, hebu jaribu kuelewa bibie
 
Mihogo mie naijua lkn nilishangazwa sana na watz walivyoipaisha..
Yani kwenj hyo inatumika km meal bana. !!
Alafu nikuulize, kwn DSTV ni premier league pekeake, walishindwa kumtoa wababe atakuja Azam
Kuhusu mihogo hapa ndio maana covid-19 iligivup bongo. Mihogo ni mojawapo ya mazao machache sana ambayo hayajawa modified genetically kama ilivyo mahindi, mchele, maharage n.k. Tena wakenya ningewaona watu wamaana sana kama mngeimport mihogo kwa wingi ila chaajabu mnaimport mahindi hadi from brazil halafu mnalalamika majengo kubomoka kumbe shida imeanzia kwenye lack of health food 😀
 
Uchapajikazi wa watanzania unahamasisha

Pamoja na kwamba malaki ya tons za mahindi yanaenda nchi zote 8 tunazopakana nazo lakini wananchi bado wanalalamika serikali hainunui shehena yao walionayo
[]

[emoji7][emoji7][emoji7] upon its completion, it will be the record-longest electrified SGR in Africa, and it will take thousands years for another African country to break this record [emoji7][emoji1241]
 
View attachment 1927404
hata sahii tayari ni record sidhani kama kuna nchi Africa imejenga over 800 km of electric SGR leave alone jointed diesel SGR!
 
dah wakuu,nashukuru mungu kanipa chance nilipata ajari,ila mguu umepata shinda dizain nimevunjika mguu wa kushoto chini ya goti nimepewa miezi kadhaa ili mfupa uweze kujiunga.
Pole sana mkuu, kwakua umepewa uhakika wa kupona tumshukuru Mungu
 
[emoji7][emoji7][emoji7] upon its completion, it will be the record-longest electrified SGR in Africa, and it will take thousands years for another African country to break this record [emoji7][emoji1241]
View attachment 1927404
Nadhani mwezi huu ndio jiwe la msingi litaweka Kwa hiyo Lot 3.

President atakapoenda ukanda huo kwenye hiyo ziara yake may be atazindua na ujenzi wa hicho kipande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…