Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I know you're pained for seeing Mombasa having better marked and cleaned roads kuliko Dar is slum, alafu unaongelea sidewalks in Mombasa wakati Tanzania hamna barabara ya sidewalks hata moja[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Ndio mana nakuita fool....[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waafrika tunafaa tukifanye kiswahili iwe lugha ya afrika, nmefarijika kweli kuona hii vidio, yani msumbiji kuna kiswahili safi kushinda Kenya daah,

Hivi umewahi msikiliza rais Philipe Nyusi akiongea kiswahili!!??
Ni m'bongo pure.
Pia sasa SADC wametenga bajeti kubwa ya kuhakikisha vikao vinaendeshwa kwa kiswahili na nyaraka zote kutafsiriwa kwa kiswahili.
 
CECAFA Women championship league & qualifiers respectively😁
www.standardmedia.co.ke › ... › Football
2016 : Harambe Starlets 11-0 Zanzibar Queens

Sep 2021: Vihiga Queens 8-0 Zanzibar New Generation

NB-our next challenge - Simba
My take-tunaletewa walaji wali na chipsi, matokeo ndio hayo! 😁
 
Kuna vitu vingine havimake sense kabisa. Kama hapo kwenye electricity connection. Dar peke yake ina watu 4 Mil lakini eti nchi nzima watu waliokua na umeme ni 2.7m. Mbona sielewi? ?
 
I didn't know I was arguing with a toddler [emoji23][emoji23], taarifa za 2021 zitatoka 2022. Taarifa zenye ziko right now Ni za 2020 where northern corridor did 33M tonnes against 16M tonnes ya Central corridor [emoji23][emoji23]
Hivi kwa nini kuwa mnasahau southern corridor pia? Siku zote hamuizungumzii kabisa
 
Ingekuwa ndiyo kwanza tunaanza ku operate BRT system sawa but cc ni wazoefu wa BRT system, so huu ushauri nenda uwape Uhuruto kabla ya pesa za tax payers hazijaendelea kuharibika mana kule wanajenga kituko cha mwaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hehehehe road safi kama render [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unaona Hivyo vieneo vyenye zege?, Kuna kitu kinaitwa Seamless transition kama unaedit Video clips [emoji1787][emoji1787]. Ndio feeling unapata kutoka kwenye lami na kuingia kwenye hilo zege. Macho yako yakiwa yamekuandaa utajibamiza kidogo lakini unapita kama haujaingia tabaka lingine[emoji41].
 
Acheni kuongea private affairs za watu huku ongeleeni maendeleo.Hayo ya kodi waachieni TRA wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…