Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

gdp is only watched and regulated by IMF and World Bank my brother. hauwezi set exam, kisha ujisahihishie jameni
Unafikiri IMF na World Bank wanaundugu na wewe huwa wanawaacha mjikaange na mafuta yenu kwanza ili wapate mlango wa kuingilia ukishajimaliza kiuchumi ndio utawatambua vizuri. Pia kama wao ndio wanaregulate gdp mbona walisema kenyan shillings is overvalued by 30% na hakuna kilichorekebishwa na serikali?
 
Yet Kenya's entertainment industry value is way bigger than ya Tanzania 😂😂😂
 
Hii ndio three level 😂😂😂😂 mlirogwa na nani nyinyi

Hebu nipe tofaut hii na pangani leo nifunge acc hapa 😂😂😂😂
Wewe mambo yako tulishaana nayo kitambo sana, we don't engage idiots here.
 
Hili jengo huwa sipendi shape yake kumbe la enzi za mkoloni ndiyo maana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wahh
Ndio maana Dar buildings are much modern than Nairobi buildings maana mengi ni ya kisasa asa hilo utafananisha na la CRDB?
sijui nyote huwa mna same level of thinking... yaani watanzania hapa ndo mpo hata kwa kufikiria jameni
hata kama😅
 
As usual data from Presidential Delivery Bureau [emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…