The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Mna majengo ya kizamani sana au tunaweza yaita majengo ya kale no wonder Nairobi ni mji mkongwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]KCB bank hq completed 1931View attachment 1917227
KCB bank HQ completed 1977View attachment 1917228View attachment 1917229View attachment 1917230
KCB bank HQ completed 2014View attachment 1917231View attachment 1917232View attachment 1917233
Hizi ndo kazi karan wa ngo anaweza fanya kwa ufanisi zaid🦃🦃🦃
Wadau tutafika kwelii
ndo maana tunawazidi kwa kila aspectKwani ujui wakenya ni watumwa wa ihali wa wazungu sasa kwanini mzungu asiwapende
ata kando na mabenki, hii 27storey NSSF building tuliikamilisha in 1973 even before KICC.. hehe.. ata kitambo sana kabla ya kizazi chetu
Picha moja matata sana hii
Halafu unazingatia culture ya matatu pia si unaona hali ya hayo malori ya tetenus.Ni noma.
Hizi Truck za Benz niliwahi kuonana nazo uso kwa uso miaka kama 22 iliyopita. Hivi Vikenya hapa vipnapiga tu kelele ndio maana huwa siongei navyo kwakua hawana wanachujua zaidi ya kuokoteza vidata uchwara toka mitandaoni.
Statistically, Nigeria na Kenya ni mabonge ya nchi but empirically, hizi ni nchi ambazo hata Mbwa na Paka wanajuta kujikuta wanaishi huko.
Nigeria, kuna makelele ya generators balaa, kila kona kila mtu ni generator, hali ya maisha, chakula, usafiri, kila kitu ni shida mno. Wapo wajinga wajinga wa Kikenya na takwimu zao uchwara kuhusu Senegal, nchi ambayo ndani ya mji wake mkubwa, katikati, watu bado wanaingia na magari ya kukokotwa na Farasi.
Dakar, Senegal. Senegal capital struggles to control horse-drawn carts
View attachment 1917211
Dakar Usafiri kama Kenya tu!
View attachment 1917225
Kipimo cha wingi wa raia wanaozurura nje kukwepa hali ngumu ya maisha ni foreign receipts from diaspora. Hapa east africa data zikoje?Yanii wametapakaa kila sehemu nenda sauzi nenda wapi lazima utawakuta hao jombii
Watapata tabu sana .....zamani wakenya waliokuwa wanakuja huku tz dar es salaam walikuwa hawarudi kwao mfano MK254 alitelekeza mke na watoto kenya na kujificha tanzania ,wakenya walikuwa wanadhani sababu ni wanawake warembo watz tu kumbe mkenya yoyote akija tz ni kama kaingia peponi,
Pia watz tulikuwa tunadhani wakenya ni wachoyo sana kwa sababu wakija tz sisi tuna wakaribisha hadi majumbani kwetu ila tukienda kwao kenya wanakukimbia hawataki ujue wapi wanaishi wakati huo tulikuwa hatujui kuwa hawa viumbe wanaishi kwa slum nairobi basi tukawa tunawaona wabinafsi na wachoyo kumbe sababu ilikuwa wanaona aibu kutupeleka slum kwao [emoji1787][emoji1787]ila ukiangalia ukweli hata mimi au sisi watz tungekuwa na slum tusinge weza peleka mtu kwa slum ,tunge mchenga chenga mpaka achoke ila home asingepajua[emoji56][emoji56]
Msikilizeni huyu mbuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa ndugu zenu waliojazana kwetu huku ndio husababisha tuwaone mkiwa watu wa hovyoo sana..... Tatizo uzembe wenu ndio umewachelewesha, leo hii uchumi wetu ni mara mbili yenu ilhali mna kila kitu huko kwenu.
Barakoa alishatelekeza?
Wadau tutafika kwelii
Msikilizeni huyu mbuzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Damu ya ubaguzi ndio iliyowafikisha hapo mlipo, zaidi ya 3/4 ya Wakenya mnaishi maisha hayo, taifa lenu ni ombaomba, Wakenya karibu wote ni ombaomba, Rais wenu ni ombaomba, zaidi ya 90% ya miradi mnayofanya ni ya msaada, nchi haina uwezo wa kufinance hata km5 za road, mnategemea watu wa nje waje kuwajengea then wawapige kodi ya kichwa alafu leo mnabagua Wakenya wenzenu kisa ni ombaomba wa barabarani mnasaau taifa lenu lote ni ombaomba mpk mnaletewa chakula cha msaada Ikulu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio maana huwa nasema Kenya ni Mavi na raia wake wote ni wapumbavu, cha kushangaza nikisema hivyo Watz huwa wanaona nawatukana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbwa kama mbwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hehehe! Mbuzi ni mamako..
Angalia hata mabalozi wameshindwa kuishi kwenu...yaani huwa mumekwama vibaya mno, uchumi wetu sasa hivi unawapiga double double
Kidiplomasia imekaa sawa kushirikiana na wengi.Hehehe! Mbuzi ni mamako..
Angalia hata mabalozi wameshindwa kuishi kwenu...yaani huwa mumekwama vibaya mno, uchumi wetu sasa hivi unawapiga double double
Hao omba omba wanatafuta mitaa michafu na maisha ya slum ndiyo wanapenda kuna jamaa alinunulia ombaomba suti ombaomba alimpiga jicho akamwambia hataki mavazi ya kifahari
Another accident in Kirinyaga county
Tatizo wakenya hawana uwezo hata wa kununua bando kuangaria youtube senegari labda uishindanishe na Somalia maana hata uganda wameizidi kuna video wasenegari wanashindanisha mji wao na mji wa Somalia angalia youtube mji wao unaweza sema labda sio wenyewe kuna video nyingine ngoja undelee kutafuta lakini wapiNi noma.
Hizi Truck za Benz niliwahi kuonana nazo uso kwa uso miaka kama 22 iliyopita. Hivi Vikenya hapa vipnapiga tu kelele ndio maana huwa siongei navyo kwakua hawana wanachujua zaidi ya kuokoteza vidata uchwara toka mitandaoni.
Statistically, Nigeria na Kenya ni mabonge ya nchi but empirically, hizi ni nchi ambazo hata Mbwa na Paka wanajuta kujikuta wanaishi huko.
Nigeria, kuna makelele ya generators balaa, kila kona kila mtu ni generator, hali ya maisha, chakula, usafiri, kila kitu ni shida mno. Wapo wajinga wajinga wa Kikenya na takwimu zao uchwara kuhusu Senegal, nchi ambayo ndani ya mji wake mkubwa, katikati, watu bado wanaingia na magari ya kukokotwa na Farasi.
Dakar, Senegal. Senegal capital struggles to control horse-drawn carts
View attachment 1917211
Dakar Usafiri kama Kenya tu!
View attachment 1917225
Hehehe! Mbuzi ni mamako..
Angalia hata mabalozi wameshindwa kuishi kwenu...yaani huwa mumekwama vibaya mno, uchumi wetu sasa hivi unawapiga double double