Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wameanza kuiba meli za Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Courtesy Geza Ulole

View attachment 1911885
Remember we have the biggest ship in lake Victoria so hakuna haja ya kuiba that small boat.

This MV Uhuru is currently the biggest ship in lake Victoria at 93m, soon it will be over taken by MV Uhuru II which will be 100m



 
Watakuambia majengo yamefichwa na miti [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1911756
whatever angle you look at it, nai is just so cute😍. nai is not a one unit pact like dar, nai is just extreemely extensive and expansive, the likes of london, shanghai and so on
 
usimjibu huyu mtu ni mgonjwa jamani anachafua hewa kwa sisi tunaowasoma huku nje tunaelewa,pengine utawala wa JPM ulimfanyia vibaya kwahiyo anataka kila mtu awe na chuki kama yake kwa MAGUFULI so mpotezeeni ajijibu mwenyewe.

Kuna thread kwenye jukwaa la siasa unakuta anachanganya mambo hata Huwezi elewa hua anatakaje.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Kuna yule mpumbavu alikuwa anaechukua jeshi kununua korosho zikaishia kuozea kwenye maghala huku wakulima wakila hasara,wenye akili wanatafuta wanunuzi kama hivi sasa.

Bro yale ya muondoka zake ni historia. Achana nayo, kwani hayana ijara tena. Kwa sasa tugange na yajayo.
 
Tunapanga mashambulizi wewe subiri uone lazima walio usika na mauaji watajuta wewe ni mmoja wao wewe siunaona chanjo zinazidi kubuma
πŸ˜‚πŸ˜‚ Ona huyu kima.Unafanya vizuri Kujifariji ukiwa na msongo wa mawazo angalau usogese siku usije kujinyonga.
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰ Hakuna mpumbavu ataachwa apumue aliharibu uchumi.

Mtu wenu hakuwa na akili ila alikuwa anawatisha wajinga kama wewe hapa.
 
Kikwete alimchomeka huyu mama kwa kazi hii. Hskustahili kuwa VP na hakua chaguo la Magufuli.

Mitambo yenu kutoka Israeli,mahelikopta,wanajenzi kutoka Rwanda na jammers vyote havikuwasidia? πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚ Kweli nyie ni makenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…