komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Kwn we unataka gaidi awe na alama kwnye paji la usoSasa anko hata kamA sio gaidi unataka tuseme ni gaid??
Kwn we unataka gaidi awe na alama kwnye paji la usoSasa anko hata kamA sio gaidi unataka tuseme ni gaid??
Tuonyeshe interchange moja hko kwenu uswahiliniJamani hivi sio vitu vya kupost huku inatia aibu vitu vidogo sana hivyo huku kwetu viko mpaka uswahilini lakini hatuoneshi.
Na huu ufalamanga wao wa haya makampuni ya kigeni kuchagua watu wa nje kuwa nafasi za juu ilihali hapa nyumbani kuna wasomi wakubwa wanaoteuliwa kuongoza mpk mashirika ya kimataifa hauwezi kuisha, JPM pekee ndio alikuwa anawaweza hawa cz wana kasumba mby sn waliyowekwa kwenye mabichwa yao, hata ukienda Kenya ma CEO wengi wa kampuni kubwa kule co Wakenya cjui kwnn huu mchezo.
MY TAKE
JPM angekuwapo angelazimisha Mtanzania kupewa hii nafasi! Ila bora kuliko hawa majirani wa kaskazini!
Yani kumbe kaua akapora na akatembea kote hko bila ya reaction yyte ile..kapora askari hapo selander bridge baada ya kuwaua
Wakukurupuka huyooo, leo kapata bundle so asomi, aulizi na wala hana muda huo, yeye ni replies tuYani kumbe kaua akapora na akatembea kote hko bila ya reaction yyte ile..
Noma sana









We upo dunia gani mzee..huo upuuzi unapatikana sana sana katika nchi za wazembe km vile tzNa huu ufalamanga wao wa haya makampuni ya kigeni kuchagua watu wa nje kuwa nafasi za juu ilihali hapa nyumbani kuna wasomi wakubwa wanaoteuliwa kuongoza mpk mashirika ya kimataifa hauwezi kuisha, JPM pekee ndio alikuwa anawaweza hawa cz wana kasumba mby sn waliyowekwa kwenye mabichwa yao, hata ukienda Kenya ma CEO wengi wa kampuni kubwa kule co Wakenya cjui kwnn huu mchezo.
Ukweli ni kwamba jamaa katembea more than 100m kwn video sikuona mzee..hapa emojis hazitakusaidia na lolote lile..Wakukurupuka huyooo, leo kapata bundle so asomi, aulizi na wala hana muda huo, yeye ni replies tu![]()
Nimeicheki news, jamaa alikuwa kaamua kufa yule, ubaya sasa kamaliza wasiohusikaNdio hvo mzee.
Alafu jamaa haikua ambush ile, yani sijui yule mzee baba alikua na jambo gani haswa
Kw hii mechi ya leo imeonyesha dhahiri uwezo wenu...

The best 007 we unafikiria hivi vi emojis vya hapa jf ndio vita determine future yako mzee..Ati ma CEO wengi wa KE ni raia foreign?🤣🤣🤣 Ana vichekesho huyo, anafikiri Bongo huku? 😂We upo dunia gani mzee..huo upuuzi unapatikana sana sana katika nchi za wazembe km vile tz
Jamaa kaumizwa sanaAti ma CEO wengi wa KE ni raia foreign?Ana vichekesho huyo, anafikiri Bongo huku?
![]()
Nilimnusa kitambo sana tikeli zake huyo braza Geza, yaani sijui hii nchi yetu ikipotea ghafla kwenye ramani ya dunia, ataishije huyo dogo, sio kuwashwa huko. Chimba chimba, ilimradi apate tope la kupaka kudadadeki!yaani Giza lazima utafute something bad about Kenya whether or not it has anything to do with Kenya 😂😂😂😂
a bomb goes off in a random country like afghanistan and you are looking for tweets linking kenya and that bombing 😂😂😂😂🤣🤣 i hope someone notices your hate effort and pays you bruh, you really put in effort no kidding lol 😂🤣🤣🥲
MY TAKE
JPM angekuwapo angelazimisha Mtanzania kupewa hii nafasi! Ila bora kuliko hawa majirani wa kaskazini!
Usijiweka na Wakenya wee Mwehu. Ndio hizi kampuni kumi kubwa Kenya zilizo na hisa zaidi ya 30% foreign ownership CEO wake.Na huu ufalamanga wao wa haya makampuni ya kigeni kuchagua watu wa nje kuwa nafasi za juu ilihali hapa nyumbani kuna wasomi wakubwa wanaoteuliwa kuongoza mpk mashirika ya kimataifa hauwezi kuisha, JPM pekee ndio alikuwa anawaweza hawa cz wana kasumba mby sn waliyowekwa kwenye mabichwa yao, hata ukienda Kenya ma CEO wengi wa kampuni kubwa kule co Wakenya cjui kwnn huu mchezo.
Nimemjibu ipasavyo nikamtolea mifano ya top 10 Kenya companies with at least 30% foreign ownership.We upo dunia gani mzee..huo upuuzi unapatikana sana sana katika nchi za wazembe km vile tz
Hawa huwa hawajui chochote kuhusu Kenya, kazi ni kukariri tu wanachoambiwa na politicians. Ndio maana saa zingine unawaacha waamini ufala wao. 🤣 🤣Ati ma CEO wengi wa KE ni raia foreign?🤣🤣🤣 Ana vichekesho huyo, anafikiri Bongo huku? 😂