Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

iko mombasa kuna ya buxton housing project..a total of 1253 houses

1,253 Buxton project houses bought off-plan, says Shahbal​




 
Acha upotoshaji ,hakuna kodi ya pango ila kuna kodi ya majengo,kutoka kupanga foleni hadi kukatwa kwenye luku.

Pili uchumi unakua na Kodi nyingi tuu zilizokuwa kero zilifitwa kwa hiyo hapa ni offsetting tuu .Mfano kipindi mwendazake Mazao ya wakulima yalianguka Sana bei na mengine yalikuwa hayatoki sokoni.

But soon alivyoingia mama Mazao yamepata bei nzuri na yanaenda mfano mahindi,ufuta, mbaazi nk sasa kama wakulima wamepata mapato why wasilipe kodi kwa namna ya tozo?.

Hii nchi watumishi na wafanyabiashara ndio walikuwa wanaonewa ila sasa ni wote safi Sana hii .

Mwisho ule wizi ambao kampuni za akina Kalemani/ Magu walikuwa wanaufanya kwenye kuweka pigment kwenye mafuta umedhibitiwa Yale mabilioni yamerudi Serikalini,kana kwamba haitoshi kulikuwa na wizi wa kuzipa kampuni binafsi eti kufanya ukaguzi wa magari nje ya nchi lakini nap umepigwa chini saizi wanafanya TBS na wameingiza pesa za kutosha .

Serikali ya Magu ilijaa majizi huku yakiwafool wajinga eti uzalendo,hakuna wa kuhoji na ukihoji unapotea ndio maana unaona Ma DED wa Magu wengi wamepigwa chini na wengine Wana kesi.
 
Dom imemuumiza mtu ameingia Google kujiliwaza na Dom ya mwaka 70[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116]
Chadulu 2021., usijitie hamnazo wewe.., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kwahyo hapo sio DODOMA eti.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, We jamaa una hasira sana, ok haya niambie we mtanzania mwenzangu hapo ni wapi.? πŸ˜‚πŸ˜‚
hapo ni Dodoma, kwani unataka kusema ni wapi wewe?., si ni hiyo dodoma unapigia kelele hapa? ndio nakuchekaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ baki nayo tu.., hiyo sio ata level ya Kericho.,
 
hapo ni Dodoma, kwani unataka kusema ni wapi wewe?., si ni hiyo dodoma unapigia kelele hapa? ndio nakuchekaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ baki nayo tu.., hiyo sio ata level ya Kericho.,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ DODOMA gani unayoizungumzia.? kuna facilities zipo Dom hata NAIROBI hakuna.. Bisha twende ground
 
hapo ni Dodoma, kwani unataka kusema ni wapi wewe?., si ni hiyo dodoma unapigia kelele hapa? ndio nakuchekaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ baki nayo tu.., hiyo sio ata level ya Kericho.,
Yani picha ya hiyo resolution mtu anasema ni ya 1970s. Wanapenda kukwepa ukweli hawa. 🀣 🀣
 
hapo ni Dodoma, kwani unataka kusema ni wapi wewe?., si ni hiyo dodoma unapigia kelele hapa? ndio nakuchekaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ baki nayo tu.., hiyo sio ata level ya Kericho.,
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ni Dom gani unayoizungumzia.? Dom inakuuma sana we jamaa, unaenda hadi google kutafuta picha za vijijini uko, kuna facilities zipo Dom hata NAIROBI hakuna, bishana twende ground
 







MY TAKE
Huyu mwenye basi mshenzy mbona hatoi basi what if akiamua kuelekeza risasi kwa abiria?

Dereva labda kakimbia kaacha gari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ , ila ilo eneo kuna folenii we huoni magari yapo kibao yamesimama, ata bajaji wenyewe wameshindwa kuokoa bajaji zao itakua basi
 
Huu mradi ulisimama kwa sababu ya sera mbovu na zisizotahirika za Uchumi za Mwendazake.

Wawekezaji wamerudi tena,soon utaanza kuiona Dar ikirudi tena kwenye ligi ya majengo marefu na real estates sector kiujumla.
Ulismama wapi na lini walitangaza huo mradi ukipata nitag hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…