Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

pamoja na ugumu wa ligi uko tofauti.. azam wanaweza kujitahidi kuwaondoa hawa pyramid kwenye kuingia hatua ya makundi... wahakikishe game ya home wanapata magoli mengi
Simba na Yanga naamin nao wote wataingia makundi .. biashara nao [emoji120][emoji1695][emoji1434]




 
Wasomi hushindana na Data anachofanya Gwanyima hakuna tofauti na watu wanaoishi kwa kuamini ushirikina
 
Porojo as usual,thibitisha
 
Sisi hatuna muda wa kupigishana na wapuuuzi waliopo serikalini sisi tunajibu kwa vitendo ,kama tunavyojibu kwenye tozo tumeachana na hizo huduma za makato ya kianithi yaliyopewa jina feki la uzarendo
๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ