Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Lakini usisahau tanzania haitegemei kitu kimoja kama source of income kuna mazao mengi sana ambazo zinaingiza pesa nyingi kwa serekali na pia kuna utalii na bandari etc
Hizo biashara za dhahabu na madini zinawenyewe na wenyewe siyo waafrica usijidanganye nazo ,ndiyo maana serikali ya urusi iliwai kusema kuwa africa haitakuja kuendelea hadi maliasili zetu zitakapo isha,tena ungejifunza kwa tz namna magu alivyo pambana kuhusu madini yetu ndiyo ungejua ,GHANA NA NIGERIA HAKUNA KITU ASIKUDANGANYE MTU ,Mm siidharua tz hata kidogo mzee nilichokuwa nataka kuumanisha ni kwamba Ghana wanamauzo mazuri ya dhahabu na kokoa na ndiyo their main source of government revenue kwaiyo huwezi kuibeza kiivyo we just imagine sisi tz revenue ya dhahabu imefika 3.3 b na sisi ni wanne Africa what about Ghana ambayo ndiyo ya Kwanzaa
Sema wabunifu wa majengo tz ni mabogazi kabisa mafiii ya bata na wanao pitisha hiyo michoro ni mafiii ya bata kabisaAlafu kuna mtu anasema jpm miradi yake haikamiliki na aina manufaa daah
MaskiniNigani[emoji1787][emoji1787][emoji115][emoji115] isijekuwa ni new type of kenya fly toilets
Hizo biashara za dhahabu na madini zinawenyewe na wenyewe siyo waafrica usijidanganye nazo ,ndiyo maana serikali ya urusi iliwai kusema kuwa africa haitakuja kuendelea hadi maliasili zetu zitakapo isha,tena ungejifunza kwa tz namna magu alivyo pambana kuhusu madini yetu ndiyo ungejua ,GHANA NA NIGERIA HAKUNA KITU ASIKUDANGANYE MTU ,
Wewe huna hoja yoyote ila una haja kubwa tu ndio imekujaa kwenye wowowo lako shenzi kabisa!We kenge joke usinilishe maneno yako pumbavu.stick kwenye hoja
They know exactly what Josephat Gwajima is capable of, so they won't bother to seize him! Let us just stay aside and look!
MY TAKE
Safi sana na wamvue uanachama CCM! Jimbo lile alipewa na Mwendazake!
Bwaaaaaahhhhhh!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuambia bana this new vision of fly toilets ama ni ganiMaskini
Anaweza kufanya nini labda kule Kolomide! Enzi zimebadilika baba, muda wa ku-pamper watu wa kanda ile umepita!They know exactly what Josephat Gwajima is capable of, so they won't bother to seize him!
Siku ikijua kilicho muua magufuli ndiyo utajua ninacho kuambia ..hakuna kitu kwa motherYah ofcoz ila kwa tz saivi tuna mwelekeo mzuri labda maza alegeze na itkadi zake za kumbembeleza mwekezajii
Yangu macho na masikio!Anaweza kufanya nini labda kule Kolomide! Enzi zimebadilika baba, muda wa ku-pamper watu wa kanda ile umepita!
Kubisahana na mtu ambaye ameshaathirika kisaikolojia ni kupoteza muda tu. Huyo anahitaji psychotherapy ili akae sawa maana naona kama dishi limeskew kidogo!Ushasema ijakamilika sasa ngoja ikamilike ndio uje ukosoe
Eeh na zile foleni foleni pale ubungo na tazara na kingine upanuzi wa bandari bado hujaona manufaa yoyote twende taratibu
Wewe kweli hauna akili ujui mtego umekavipi hapo wenzako tunatega kuwakamata walio husika na kifo cha kamanda wetu
MY TAKE
Safi sana na wamvue uanachama CCM! Jimbo lile alipewa na Mwendazake!
aropoke halafu tuone!Wewe kweli hauna akili ujui mtego umekavipi hapo wenzako tunatega kuwakamata walio husika na kifo cha kamanda wetu
Alafu ww uwache kuongea ujinga....debt lazima liangaliwe likisha zidi uwezo basi inakuwa janga ..ulisoma uchumi wa wapi ww mwongomwongo.....ulisikia wapi kisa tu umetumia debt kuwekeza kwenye miradi manake uko sahihi? Ndio mana kuna kitu kinaitwa tembo mweupeUkisoma hayo maelezo ya IMF ni porojo tuu lakini hakuna risk yoyote kubwa kwenye uchumi.Kukopa hakujawahi kuwa tatizo ikiwa tuu hukopi kwa ajili ya recurent expenditure.Pili kama nchi inauwezo wa ku service debt pia sio shida.
Nyie wenzetu mlisoma political economy ndio maana mnahangaika sana mkiona debt to gdb ratio ni kubwa,sasa kwa taarifa yenu dept sio shida kwa nchi na nchi i aweza kuwa na madeni zaidi ya gdp yake.Kwenye uchumi Dept inaweza kuwa shida kwenye nchi ambazo ziko assumed kwamba their resources are fully employed au zile ambazo zinztegemea sekta moja au mbili tuu kwenye uchumi lakini sio kwenye developing Nations kama zetu ambako tuna resources nyingi za kukabiliana na madeni,fursa ya kukuza uchumi ni kubwa zaidi across sectors.
Natoa wito kwa serikali ya SSH ikope pesa za kuzidi ili tugharamie miundombinu nk afu washushe kodi na pesa zimwagike mtaani tukuze purchasing power ya watu na mwisho wa siku tu drive production,kiufupi serikali itengeneze demand ili demand ichochee production.
Ww ni mpuzi ...ivi unazungumziaje robo ya uchumi wakati akuna hata kitu amefanya zaidi ya kuzika mwenda zake na kuzunguka....alfu useme uchumi umekuwa....JPM impacts 😀 😀 😀 😀 Hata Hujui kwamba siku 100 zinamaanisha robo na assessment za Uchumi zinafanyika kwa qourterly.Mtu wenu alifeli sana kwenye uchumi.
Si uliona hapa wewe kwamba ndani ya siku Tzn ilipata urari chanya kwenye mauzo ya nje against Kenya,ikateka soko la Uganda,tuka expotrs nafaka mara 6 zaidi,migogoro ya kijinga na Kenya na Rwanda ikaisha nk nk sasa sijui unaongea nini.
Nilikuwaga namzarau sana yule mtu wenu kutoka kijijini huko yaani akigombana na wenzie kwa vitu vidogo basi anavyovimba ndita na kujitutumua wajinga wanashangilia biashara na uchumi vinaanguka,utasikia vita ya kiuchumi 😀😀😀