Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

juu umeshaitikia mmejenga "ikulumosque",Sasa twangoja Mletewe Sheria law sndio[emoji85][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tumejenga ikulu kwa kufuata Swahili culture yetu ambayo ina influence ya arabic na Bantu hatuigi tuu mambo ya western kama nyie pia hata Bunge letu utaona design yake ni ya swahili culture nyumba ya msonge
 
Tumia akili [emoji1787][emoji1787]kitabu kina elimu ila hakina akili
Uchumi ni mali uliyo nayo siyo porojo porojo
 
ilimgharimu magu almost miaka3 watu kumuelewa so isije ikafka 2023 ukabadili mawazo
Mimi siyo kipofu,magu alikuwa mchapa kazi toka hajawa raisi pia magu alikuwa anajua kwenda na upepo alikuwa very intelligent kila alipo kosea alijilekebisha mwenyewe tofauti na huyu mama ,kitakacho msaidia mama ni miradi ya magufuli kama bwawa la umeme nk ila huyu mama ni mvivu toka utotoni uvivu wa kizanzibar mimi namjua
 
Ama kama Raila Amolo Odinga au vipi?🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…