Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili ndio tatizo la kufanya kitu kisa mwenzako anafanya, mwanza sgr inapita ikifanya nini..
Kuna mizigo gani kule baada ya uzinduzi wa phase1
 
Somo limekuingia hilo, usijali next time wala hutokurupuka tena manake haswa ulijitia mjanja kukwepa nilichomaanisha lkn sasa naona zimekukaa sawa
Ninapokuwa siweki emoji kwenye post zng uwe unatambua nipo serious kiasi gani.
 
Ghana ametuacha 8 bill, Angola anakuja kwa kasi tunayo kazi ya kufanya pia naona Ethiopia hataki mchezo anamtafut morroco
Niliskia majirani wakijinadi wako above 100b
Hamna kitu apo mkuu, wenzetu namba zinaongezeka sisi daily tumekwama hapo hapo kwenye 64 na wkt mwingine inakuwa 67 at the same time nchi miradi kila kona tena mikubwa mikubwa na hali ya commercial nchini iko vzr.
 
Saivi kwakua mama anaendana nao ngojea utaona next time ....sababu km ni miradi ya kimkakati ya kustimulate uchumi tumefany lkn wameamua kuziba maskio
Watasema hatuja rebase uchumi na propaganda kibao za kipuuzi ilihali nchi iko vzr tu.
 
Duh!! We mzee mshamba sana kumbe..unajua sababu ya matenki au unakurupuka tu
Maji yanatoka siku mbili kwa wiki thus y vibanda vingi vimeamua kufungua viwanda vya mapipa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…