Noma sana mkuu, watu wapo dunia tofauti ndani ya eneo moja. angalia waliotoka nyumbani pamoja na kuwa wametembea kwenye vumbi miguu bado misafi, na wamezingatia mambo ya afya, mwangalie aliye kwenye dunia yake anapiga kiburudisho sijui ni petrol hiyo au Energy drink, na sijui waliwahi jimwagia maji lini, kuna jamaa kulia ana layer mbili zinaonekana na nadhani ni baridi lakini hizo laye sidhani kama ziliwahi kutana na maji. Hiyo location setting yenyewe tu pamoja na vumbi, kutakua na kauvundo cha hilo pile la takataka hapo ni noma.
Nchi yetu kila moja na urefu wa kamba yake.