Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huoni reli ya umeme, huoni madaraja ya waya, huoni public transport European Standard, huoni roads na flyovers za kisasa zaidi, huoni hospitals za kisasa kabisa, yn huoni, kati ya vyote hapo nilivyotaja kwenu mnajenga barabara km cc labda kdg na vihospitali baadhi ya maeneo co km cc nchi nzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Tunajua zote hizo, na sehemu ziko, no meaningful impact or change, umasikini ndio wimbo propaganda ni tune ya Tz.., I repeat mko ovyo zaidi ya majigambo yenyu, mifukara jeuri😂😂😂.,
 
Huoni reli ya umeme, huoni madaraja ya waya, huoni public transport European Standard, huoni roads na flyovers za kisasa zaidi, huoni hospitals za kisasa kabisa, yn huoni, kati ya vyote hapo nilivyotaja kwenu mnajenga barabara km cc labda kdg na vihospitali baadhi ya maeneo co km cc nchi nzima[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Imagin DAR na Venye Ni kubwa imeshindwa No of roads na Nai🙈and yet you are a Donor Kantreee 🤐Like you say so
 
1628281135984.png
 
nenda kenya sasa kwa ground in reality ujichekee,,

our picture huwa zinakuwa real sana tofaut na hawa majirani machokoraa
Unaongea ki upropaganda na kwa maumivu sana,😂😂😂 mnatamani sana fikra zenyu za wivu na roho mbaya ziwe unabii lakini zitabakia laana kwenu 😂😂😂., hiki kizazi chenyu hakikomboleki hadi mauti, maybe kizazi Cha mbele cha wenye mwangaza, nyie mko gizani, angalia maisha yenu nchi yote, mbali sana na visehemu vichache vizuri mnapost mkirudia rudia angles tofauti, the bigger sprawling low life standards zimejaza taifa kila kona., Kikohozi, ufukara usio fichika, ata mzungumze hadi mfe wote, ukweli hautingiziki, mko ovyo! almost everything, ulimwengu wa giza unatawala nchi, so sad!!.,
 
kenya is still in women 1500m race and both male and female marathons which which we are likely to bag medals....we will definitely finish the top african country at the Olympics. What about you guys??what are you actually good at?
Tz is good at: Ushirikina, urogi, uchawi, wivu, chuki na roho mbaya! Tabia za kishetani tu., hapa watapata gold medals, hawana mpinzani duniani, sio tu Africa😂., na pia umbeya wa kimama😂😂😂😂😂😂.,
 
No wonder hawajulikani walipo kwenye ramani ya Dunia ....Kuna madereva mabeshte wangu wa Tz walipofika Thika waliniambia....,"Kwa kweli Wakenya mna miji kubwa Kuwaliko na Pesa tunanunua Mahindi double ya vile wanauza kwao...
 
Coco reborn and Don YF gave them a taste of their medicine so much that the rest of the hater crew came to help that Obama boy out.😂😂
Tuliua panya, sasa amebaki na archives za Kenya na kurudia rudia Kibera ya zamani mara mia angles tofauti tofauti na historia ya Turkana😂😂😂., 2020-2021 Dar yoote inafanana 1800 AD!😂😂., wanatapa tapa sasa wakitafuta pakutokea lakini wapi., tumefumania Kijiji cha wavuvi kote kote., town na vijijini., wangoje sgr ya umeme iwafute machozi kabla ya losses kama dreamliner, hakuna faida tangu lizinduliwe., SGR will be the same, sababu nchi ni fukara na imezungukwa na mataifa fukara zaidi yanayo tarajiwa kuchangia faida kwa hiyo sgr., no value for money😂😂😂😂.,
 
No wonder hawajulikani walipo kwenye ramani ya Dunia ....Kuna madereva mabeshte wangu wa Tz walipofika Thika waliniambia....,"Kwa kweli Wakenya mna miji kubwa Kuwaliko na Pesa tunanunua Mahindi double ya vile wanauza kwao...
Tukifunga border wakulima wao wanalia mbaya!., ufukara wao ni wa kipekee, ukiwafinya kidogo umemaliza taifa😂., nchi fukara, revenue ya taifa mzima karibia ya Kiambu na Nakuru County, Tz yoote!, Kenya ikifunga border wakulima wao na wana biashara wanafinyika hivi;👇👇 wanalalamika, wanakosa namna😂😂😂
2868625_2865714_7284116_7283461fbimg1513986519120jpeg4d1369f46bd0fe41e19ea32e6b670163_jpegc87...jpeg
 
No wonder hawajulikani walipo kwenye ramani ya Dunia ....Kuna madereva mabeshte wangu wa Tz walipofika Thika waliniambia....,"Kwa kweli Wakenya mna miji kubwa Kuwaliko na Pesa tunanunua Mahindi double ya vile wanauza kwao...
Kununua double price ni kwa sababu ya njaa. Refer principle of demand and supply
 
Wengine Ni Vichwa malimau,they can't accept Deafet mpaka Zezetas wengine wanaendaga kutuharibia Jina kwa post za Algazeera,Africa connect,Etc,eti wanasema eti nimatajiri kuiliko Kenya Ila wanapingwa mpaka na Wanaigeria🙈🤣🤣🤣😝😝😝
 
Majirani wetu wote tunasikizana vpoa ispokua Hawa vinyangarika wa Tz ...Ethiopia tunacompete kimaendeleo n hadi Olympics wakiwa Uganda....Watz ni midomo tu uku ni kiburi isiyo wabenefit n kitu..inchi inajisifia N Diamond na Harmonize na tower tatu ,,,,,ujinga gani hii,,mnaringa mko na viwanja za nini na hazisaidiii,,,wazembe sana nyinyi
Jamaa unajua news za Kenya hadi cjui vice president wanu ni nani...kweli Kenya ni nchi kubwa kua watanzania
 
Back
Top Bottom