Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa sasa kwenye mitaa mikubwa miwili ndipo wanapoishi 90% ya Wakenya wa Jf [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums1012677361.jpg


Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
We unaongea nini mzee, yani mumeanza kujenga miundombinu karne hii basi mnajikuta wa sayari nyingine..
Nyie semeni ndio mumezinduka sai
Na bado kuna miradi mingi sana inakuja. We are the giant of East Africa that's is no doubt!
 
Hakuna mkenya ataleta picha kutoka Tz iko hivi, never ever tangu battle imeanza wanahangaika kuleta picha zinazokaribiana na kwao lkn wapii, hakuna [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
JamiiForums-640764996.jpg


Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Na bado kuna miradi mingi sana inakuja. We are the giant of East Africa that's is no doubt!
Hahaha!!iache ije lkn ukweli ni kwamba mpka sasa bado mnashadadia miradi ile ile tu tokea jiwe lipo hai
 
Hiyo ni nchi wakuu msicheke[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1880744

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app

Nyumba hazina madirisha , au ni magodon ? Angalia Hilo jengo lina floor kadhaa ila halina hata dirisha moja[emoji1787].
 
Vighorofa viwili vya mchina, kukosa fadhila za mchina manaake hapo pangebaki kama palivyo miaka 300, jamaa wapumbavu sn yn hawana hata 100 ya kujenga kwa pesa zao na kodi wanalipa wasenge hawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1880726

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Wivuuu unaskia maumivu, umeshikwa pabaya kijana fukara.., 😂 😂 😂 😂 😂
1628157421249.jpeg
 
Mngekuwa mna uwezo wa kuimplement miradi mikubwa na ku-run sector nyingnine effectively huyo bwege wenu asingekuwa anazunguka duniani na bakuli la kuomba misaada na mikopo. Amekuwa omba omba kupita kiasi. Na shukuruni world bank & imf kuwakopesha fedha nyingi kwa ajili ya kupambana na covid. Fedha za mkopo kwa ajili ya kupambana na covid ndizo mnatumia kwenye miradi mingine. Isingekuwa covid money mngekuwa na hali tete kiuchumi na miradi yenu mingi ingekuwa halted.
Unatamani sana fikra zako zikue ni ukweli., utapata tabu, itabaki kuwa matumaini yako tu na opinion., Tanzania ni fukara zaidi, hilo hamuepuki karne hii., ka ukijua hilo, hekaya za abunuasi wewe baki nazo kule vijiweni.,.,
 
Jamaa shule hawana kabisa mbwa hawa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1880697View attachment 1880698

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Amekosa jibu kutoka Tanzania 😂 😂 😂 😂 😂 😂 tunapiga panya left right and centre.., hakuna response inabidi akimbie kibera angalau apate kitu cha ku post.., Tanzania fukara kila kitu kwisha😂😂😂😂😂😂, Dar tulifumania.., hakuna ya kuleta bila kurudia rudia three towers and its environs..,
 
Back
Top Bottom