ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
battle of the kenyan best hip hop..neck to neck, i go for octo on this one tho
battle of the kenyan best hip hop..neck to neck, i go for octo on this one tho
Annael Asante Sana,Sasa kwenye madaraja naona wakenya wamekaa. Only in Tanzania. Sasa tungeamua kuujenga Dar pekee yake si ingekuwa hatari sana!!?
![]()
Kasarani is the only international stadium in E&C Africa
sent from iPhone 7









Bila kusahau new sarender bridge 7 kmAnnael Asante Sana,
Hata ivo naomba uwaongezee dozi.
Kirumi bridge-Mara River
Wami bridge-Wami River
Very soon Kigongo-Busisi bridge 2.1km long Mwanza Tanzania
Fela bridge-Along Usagara-Kisesa bypass
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda umwambie huyo jamaa mm kenya naijua juu chini na nimeishi karibu mikoa yote ya kenya hio project ya kibera ni ya haina gani kwa dunia ya leo mbk ushupalie namna hiyo,shilika la makazi duniani limeshatangaza tz hashwa jiji la dsm linakua kwa kasi ya ajabu na wamethubutu kusema kwa muda wa miaka kumi au mitano badae dsm litaongoza east africa,sasa tuwahamini hao au tufuate maono yako na utashi wako?Umeona picha au umefika hayo maeneo?? Maana kama haujafika basi ww ni mpuuzi tena mkubwa.. Kibera now days kuna project kubwa ya maghorofa kama yale ya UDSM.. tembea uone.. lzma tujifunze kwa wenzetu.. wakenya wako mbali kidogo kupita sisi hata uchumi wao uko stable....
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo ndio kupanic mseeUpuuzi wa kiwango Cha SGR ya Kenya![]()
Dar hakuna nyumba ya mabati hzo picha zitafutie sehemu yake😀😀😀😀😀Dar is slum![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sent from iPhone 7
Umesahau continental na ile ya Itv.hukumwelewa vizuri.
ni hivi,
azam tv imechangia sana kuyumbisha soko la paytv nchini tanzania kwa dstv,startimes na zuku.
miaka ya nyuma kabla ya azam tv,dstv ilikuwa inaongoza kwa gharama kubwa za paytv nchini.
lakini ilipoingia azam tv mwaka 2013/2014,dstv ililazimika kushusha gharama za packages zake kwa kiasi kikubwa sana.
hata sasa bado dstv inalazimika kushusha gharama zake ili kwenda sambamba na ushindani inaopata kwa azam tv.
by the way,ni watz wachache ambao bado wanang'ang'ana na startimes au zuku tv siku hizi.
wengi wamehamia azam tv na wachache wamebaki dstv.
huo ndio ukweli...ukibisha tutakuletea uthibitisho.
Ujumbe wa sikuKasarani is the only international stadium in E&C Africa
sent from iPhone 7

Ooh hii ni ngoma ya Raymond(rayvanny) hio hapo ni mabati huwezi kukataa mji wakoDar hakuna nyumba ya mabati hzo picha zitafutie sehemu yake😀😀😀😀😀
Punguza hasira budaa
We wahache tu nani asie juwa kwamba wakenya ni watu washamba sana na ndio manawakiwaga bongo wananenepeana tu😛😛
Concrete stadium😀😀😀
Ww hata ulazmishe vp tanzania stadium will remain the modern stadium in east and central africa....hata kocha wenu wa gor mahia alisema alihisi yuko europe😛😛
Unajua maana ya nyumba za mabati 😀😀😀Ooh hii ni ngoma ya Raymond(rayvanny) hio hapo ni mabati huwezi kukataa mji wako![]()
sent from iPhone 7
Kwenda hio ni mabati....na hio ni dar...usianze ubishi za kijingaUnajua maana ya nyumba za mabati 😀😀😀
Tafutia ile picha sehemu yake najua unaijua sehem yake
Ooh hii ni ngoma ya Raymond(rayvanny) hio hapo ni mabati huwezi kukataa mji wako![]()
sent from iPhone 7
Lolkwanza yule jamaa anaoga na maji kasuku moja...lol