babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,305
- 35,733
Wanasahau kuwa English is not a measure of Intelligence [emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo akikosea kuandika neno la kingereza ni elimu hana ila wewe unapokosea maneno ya kiswahili ni bahati mby, nani aliwaroga nyie kima? Yani mmepumbazwa mpk machokoraa humu yakiongea"yes" "no" yanajiona yamesoma, yn kuwa mkenya ni laana wallahi, hata waingereza hawana habari na vitu vidogo vidogo mnavyo deal navyo nyie wehu [emoji1787][emoji1787]
Kitu usichojua ni kwamba kuna aina mbili za lugha, kuna written na spoken so even English man anaweza akawa mzuri kwenye spoken na akawa mbovu kwenye written so just submitt to your English teacher I will pay for you sychophant moron [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]