Kiwanja cha kizamani mno, you Kunyans badilikeni bhn, watu tunaenda mbele nyie mnarudi nyuma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Air Tanzania's CEO Matindi jana kasema route zinazofuata Lubumbashi, Kinshasa, Ndola, Dubai na Nairobi! Nadhani by the end of this year tutaanza kwenda huko baada ya zile A220-300 mbili kuja!
Kwa nairobi sio mbaya hata tukianza na bombadier maana ndio zinazoenda bujumbura na entebbe,route ya ya lubumbashi na kinshasa italipa sana aisee,wacongo wanaconnect ndege naipori na addis ababa,route ya dar ikianza wacongo wanaoenda china tutawapata wengi
Magu mbishi sn wallahi, hatimaye ndoto zake na za baba yake (Mwalimu) zinaenda kutimia lkn wote wakiwa wamelala, R.I.P our heroes. Hofu yng umeme usije ukawa haushuki bei kwa kigezo cha gharama za uzalishaji, mana paka hayupo panya wanatawala tu, JPM alikuwa anarudia rudia kusema kila siku kwamba umeme lazima ushuke bei, basi na iwe hivyo.
BBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo. BBC imegundua kuwa Kenya na Rwanda ndio zimepewa mikopo mikubwa na nchi wahisani na hivyo kuwaongezea kwa...
afterall tumewashinda uchumi, na gdp per capita mara mbili, mnatuambia nn sasa hapa, damn all u southerners View attachment 1875784uwivu wenu sherehe kwetu
July 30, 2021
30Jul 2021
The Guardian Reporter
Dar es Salaam Business
The Guardian
NFRA TO BUILD 65 GRAIN STORAGE FACILITIES IN EIGHT REGIONS
THE National Food Reserve Agency (NFRA) is set to construct 65 new storage facilities worth USD 55 million in eight regions with the capacity to store 250,000 MT of grain.
The new storage facilities will be constructed in Songwe, Katavi, Ruvuma, Njombe, Manyara, Shinyanga, Dodoma and Rukwa Regions.
NFRA chief executive officer Milton Lupa told Property Watch that among those, 56 storage facilities are silos and the remaining nine are warehouses.
He said that the construction of new storage will increase the storage capacity from the current 251,000 MT to 501,000 MT of grain, improve the working environment of the agency, governance and accountability.
“So far the construction work of warehouses and silos worth US$8million in Babati District, Manyara Region has been finalized and will have the capacity to store 40,000 MT of grain while in other regions the construction work is underway,” he said.
He thanked Poland government for providing them a soft loan to facilitate construction of the modern storage facilities in the country.
Lupa said NFRA is now building new facilities through a five-year project ‘dubbed’ Storage Capacity Expansion Project on Construction of silos, warehouses and other infrastructures with the support from Poland government.
So far NFRA has 34 warehouses with the capacity to store 251,000 MT and they still need more storage facilities so that they can be able to store maize, white sorghum and rice stock that will be purchased from different farmers across the country.
“We expect to buy a total of 165,000 Metric tonnes of maize worth 14bn/- in Ruvuma, Njombe, Songwe, Rukwa and Katavi Regions at affordable price so as to support farmers as well strengthen food security in the country,” he said.
He said the main goal is to allow farmers to obtain better prices for what they produce, help them to increase income and increase revenue to district councils in the respective areas.
The CEO acknowledged that inadequate storage capacity and facilities and capital investment fund are among the major impediments that hinder NFRA to operate its work more effectively.
“We still depend on government support and other donors so that we can operate our work more effectively,” he said.
Elaborating on the Capital Investment Fund area, he said funds provided to the agency was not enough as it mostly meet part of working capital requirements and recurrent expenses only.
NFRA is a public institution established as an executive agency under the Ministry of Agriculture, Food Security and Cooperatives for the purpose of guaranteeing national food security.
The main role of the Agency is to procure, reserve food stocks and respond to food shortages in the country.
The Agency has been established to maintain a national optimal level of food reserve for the country, procuring, reserving and releasing food stocks to address disasters, marketing food commodities and generating revenues as well as recycling and releasing food stocks in the market to stabilize food supplies.
Kwa nairobi sio mbaya hata tukianza na bombadier maana ndio zinazoenda bujumbura na entebbe,route ya ya lubumbashi na kinshasa italipa sana aisee,wacongo wanaconnect ndege naipori na addis ababa,route ya dar ikianza wacongo wanaoenda china tutawapata wengi
Yeah..kweli..Layover time na connection time itakuwa ndogo..i think the new A220s zitaboost sana connection..na hizi nafikri ndo tungezinunua kwa wingi..ingawa naona sikuhiz hata route ya Lusaka...Harare ..Q400 inatumika siku amabazo abria ni wachache kama Tuesdays ..so Q400 inaweza vizuri route za East Africa
Sema kwa vile q400 nying hazina speed..na inflight entertainment ..si nzuri kwa regional routes za mbali..
Magu mbishi sn wallahi, hatimaye ndoto zake na za baba yake (Mwalimu) zinaenda kutimia lkn wote wakiwa wamelala, R.I.P our heroes. Hofu yng umeme usije ukawa haushuki bei kwa kigezo cha gharama za uzalishaji, mana paka hayupo panya wanatawala tu, JPM alikuwa anarudia rudia kusema kila siku kwamba umeme lazima ushuke bei, basi na iwe hivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.