Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

True ilo eneo pekee lina ghorofa zaidi ya 600 wakati kanai Kote kana ghorofa 213 tuView attachment 1868728
Sabbatical si alijua kukuumiza na ile video yake moka ukamuita maskini[emoji1787][emoji1787]
"Big city feeling" kw east africa ni nairobi tu, jamaa katoka new york ashindwe kujua big city inakaaje..
 
Your argument still doesn't make sense, JKIA can handle more than five Boeing 737 each with more than 300pax at a go, that's 1,500pax alighting at the same time. So what makes you think 500 is a problem to JKIA?[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Ukiwa muongo lazima uwe na akili umeona wapi B737 ibebe more than 300pax labda seat configuration aa matatuu ndio maana ndege nyingi Kenya huanguka kila siku kumbe overloading
 
t
JNIA is a low life airport in the league of Entebbe airport. There is no way you can call yourself andvanced yet you can't even do 2.5M passengers per year.



View attachment 1868534


Tafauti ya kenya na Tanzania ni hii Kenya Main Airport ni moja kwa tourist and business .But Tanzania ni 3 Airports for business JNIA(Dar es Salaa,m ,KIA(Kilimanjaro) and Zanzibar.Hivyo lazima idadi iwe ndogo kilingana na ,mgawanyiko.
 
t




Tafauti ya kenya na Tanzania ni hii Kenya Main Airport ni moja kwa tourist and business .But Tanzania ni 3 Airports for business JNIA(Dar es Salaa,m ,KIA(Kilimanjaro) and Zanzibar.Hivyo lazima idadi iwe ndogo kilingana na ,mgawanyiko.
What of Mombasa and Kisumu in kenya, unajua annual passenger numbers kweli ama nikukurupuka tu?
 
Haujui chochote, leta admission form ya Dodoma university nitakulipia karo semi-illiterate., utaelewa mambo soon πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…