Kwani mimi nimekwambia ulete kuku wa kijani ambaye hayupo? Nataka kuku mweusi tuu in form of tenders issues ambao wanapatikana tele tuu.And dalili za kushindwa ndo hizo unaanza kubehave kama mganga Nate kwambia eti leta kuku wa green hehe wakijua hutapata sasa wataka nipoteze muda nikitafuta tender documents for over 100 road projects wapi au kwa sababu gani? Ndo nikufarihishe wewe hehe heri nikapige mto deki