Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti hiyo ni cbd
yani kama hapo pamekufanya udhani ni cbd basi ujue dar ni hatari hapo ni kama km10 kutoka cbd
 
Sikieni huyu fala🤣😂🤣, ati data za serikali yenu Ni fake?😂I🤣🤣 Anyway I don't listen to nonsense please, JNIA Ni level ya Kisumu 🤣😂🤣. Unaongelea JKIA which handled more passengers than all Tanzanian airports combined?🤣🤣😂🤣👇👇

 
We dogo acha ujinga waulize wakenya waliokuja dar niliweka video ya drone cbd
 



MY TAKE
Because Dar and Kampala are first World cities to any Kenyan!
Dar and Kampala are cheap cities that's why Kenyans can afford them, in Dar price of five star hotel Ni less than price of a three star hotel in Kenya 😂🤣🤣
 
Jamaa kaanza kuleta zile statistics za roads naomba umpe ile dawa alikunywa mara ya kwanza huyu mzee wa decoder 😂😂 Teargas
🤣🤣🤣 Wanafikiri kila kiumbe ni msukule wa jubilee

Kunyata anawadanganya kawajengea lami ili azidi kuwatapeli na mikopo wanafikiri ni kila mtu anaweza kudanganywa hivyo 😅😅

Wameshashtukiwa na data zao za kuoka 😅



 
We jitekenye na kucheka mwenyewe tuu.
 

Tukikuuliza hii tabloid uliyo screen short ni ya mwaka gani? Hujibu, maana status ya Tanzania imebadilika mwa 2020. Wewe unaleta data za mwaka 2018. Huoni kuwa unaturudisha nyuma?
 
So when knight frank says tanzania has many millionaires in east africa mnashangilia but when the same knight frank says tanzania is ranked by world bank as a poor country you up in arms hehe bro be realistic sometimes

Jibu kwanza swali langu ambalo ni rahisi tu. Tanzania iliingia lower middle income mwaka 2020. Halafu wewe unatuletea ka part gazeti kenye data za mwaka 2018. Huoni unapotoshaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…