Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

thats your felo
this guy at a wedding/send-off party tried to hide one package of azam juice in his trouser's pocket thinking that we wouldn't notice.SMH.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
9031c99e524583063d458826309dcc7a.jpg

NB: azam juice is a product of tanzania.

mtanzania mwenzenu
 
Ninakuonesha everything we make locally for Tanzanian. Ziada tunauza nje. Nakuonesha kila kitu tunatengeneza hakuna cha kuacha. Hahahaha naona umeanza ku panic.

Made in Tanzania
oh i am really panicking....we import everything.lol
 
Naona LDC mumeungana dhidi ya Kenya lol

Sent using Jamii Forums mobile app
ni kawaida yetu watu wa LDC kuungana tunapo amua kumtia adabu common enemy.tunaweka pembeni kabila,dini na itikadi za kisiasa.

hii tabia tumerithi toka kwa mababu zetu tangu enzi za kumg'oa mkoloni.pitia vizuri historia ya LDC,utajifunza kitu.

watu wa nchi ya njaa linapofika suala la ku-deal na adui,kila mtu anatazama kwanza kabila lake.

ndio maana siku zote alshabab wanawaua cos wamejua udhaifu wenu upo wapi.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
oh i am really panicking....we import everything.lol
None my business. I just showing you how Tanzania going to be the center of industries in a region.
Sasa wewe umeanza ku panic.
Miaka ya 80s na mwanzoni 90s, kenya mlikuwa na bidhaa nyingi sana hapa TZ. lakini sasa mambo yanabadilika Kenyan products in Tanzania market is approaching to zero.
 
hahaha

.....take a chill pill.its boring starting to google about industry and products
 
ni kawaida yetu watu wa LDC kuungana tunapo amua kumtia adabu common enemy.tunaweka pembeni kabila,dini na itikadi za kisiasa.

hii tabia tumerithi toka kwa mababu zetu tangu enzi za kumg'oa mkoloni.pitia vizuri historia ya LDC,utajifunza kitu.

watu wa nchi ya njaa linapofika suala la ku-deal na adui,kila mtu anatazama kwanza kabila lake.

ndio maana siku zote alshabab wanawaua cos wamejua udhaifu wenu upo wapi.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
idiot....
 
lol....who would leave the quality kenyan juices for azam.....kenyans might be tribal but very patriotic to their brands.no nowonder south african companies can only penetrate kenya through mergers and acquisitions
 
punguza hasira kijana....pia punguza povu....utachekwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
38160e356700b3665b196c108e465138.jpg
a49a08cdd2f90a787907f6521a12c13a.jpg
 
Back
Top Bottom