Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee mkuu hii habari Nina mashaka nayo, issue ya Caroline kujitoa uhai naona kama Iko fishy Sana inawezekana she was killed somewhere alafu akapandikizwa evidence! kama kisa cha father keisa kama unakumbuka siunajua wenzetu ndo zao au unaona hiyo habari imekaa aje?
 
wengi kama vile lile Jamii la Hadzanabe/Hadza jamii ambayo iko Tanzania,na wengine Malnutrition
Mi natokea mkoa wanaopatika hao Kwanza huwa wanapewa chakula na serikali hawafi njaa.hao jamaa hawalimi wala sio wafugaji ni wawindaji wakati kuna njaa huwa wanapewa vyakula.Tatizo ni mtindo wao wa maisha.
 
she was killed somewhere? So amekufa mara mbili? Au unamaanisha she had killed somewhere? Na mbona unamashaka kwamba aliua?
 
We umeshaambiwa hizo picha ni za zamani Sana usiwe mbishiπŸ™‚ alafu mfumo wa matatu ni failed transport system kwa maana haipo safe and reliable mnaitumia sababu hamna option.
Kwa hiyo kaa utulie.
 
Ameuliwa prove picha inaonyesha kuna dam ilio dondok wakat anawekwa apo...ukiangalia apo kwenye miguu kuna dowa kubwa tu la dam na kwa pembeni zaidi pia ipo ila akuna hata tone la dam ukutani sasa iyo risasi alijipigaje ?....wahuni tu hao
 
We umeshaambiwa hizo picha ni za zamani Sana usiwe mbishiπŸ™‚ alafu mfumo wa matatu ni failed transport system kwa maana haipo safe and reliable mnaitumia sababu hamna option.
Kwa hiyo kaa utulie.
Mlijenga brt 15 years ago??? Motherfucker!πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜ Daladala kando ya brt ni mawe au wadudu? Ni brt au mto?πŸ˜ŽπŸ€“πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜…!
 
Ameuliwa prove picha inaonyesha kuna dam ilio dondok wakat anawekwa apo...ukiangalia apo kwenye miguu kuna dowa kubwa tu la dam na kwa pembeni zaidi pia ipo ila akuna hata tone la dam ukutani sasa iyo risasi alijipigaje ?....wahuni tu hao
Umeona hawa jamaa sio kabisa
 
Unajua kuna ile namna huwa mmoja wao akidanganya humu halafu wanaungana wote kutetea uwongo na yeye hapo anadhani labda na nyie mnadanganya na mmeungana kudanganya kumbe ni ukweli mtupu tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnapingana mpka na picha, kweli nyie watu mumechanganyikiwa
 
Mlijenga brt 15 years ago??? Motherfucker!πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜
Matusi ya nini πŸ™‚? Hivi ina maana huwezi ukaongea bila ya matusi watu wasielewe? Kweli wakenya MNA matatizo πŸ™‚
 
Matusi ya nini πŸ™‚? Hivi ina maana huwezi ukaongea bila ya matusi watu wasielewe? Kweli wakenya MNA matatizo πŸ™‚
Punguza ujinga matusi itapungua,tatizo unadanganya hadharani,eti hamna daladala dar,mafuriko ni ya juzi pia,your failed brt is a river whenever it rainsπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜Ž
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…