Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hiyo dual carriage way section ya mombasa road imeanzia wapi hadi wapi kilaza? ama hauna uwezo wa kuelewa kilicho andikwa, na nimetumia lugha ya wazembe., na bado haupati picha!! 😂 😂 😂 😂 😂
Mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe. Hebu check mfano wa mambo.
Mbona unaficha ficha vitu!?
Screenshot_20210713-175726.png
 
Kwahiyo issue ya barabara imekushinda!?
Umeamuwa kuweka ramani kutoka kwenye Website template. Unatuwekea templates za WordPress 🤣 🤣🤣
Mtanzania hafai kuongea mambo ya barabara cause you only have one road that you have posted one million times. For the picture nimepost above I was just replying a certain fool who wanted to compare electricity access between Kenya and Tanzania. Kwanza hiyo Word Press imewahurumia cause world bank is placing your access at 30%😂😂😂😂
 
Miundombinu hautaki tena, Mnataka estates, Kenyans bhana 😂 😂 .. NB: Ili muweze kushindana na Dar lazima muhusishe mji zaidi ya mmoja
Dar tulikosa kabisa ya kulinganisha na kenya.., hakuna miundo mbinu ukitazama kwa umbali kaka.., wacha kujitia hamnazo., ikija miundo mbinu Dar ni hovyo zaidi!! 😂 😂 😂 😂 ., kenya iko na slums but ziko secluded in sections., sehemu zao, sio kutapakaa hivi

👇
1626248726645.png

2773845_IMG_20210514_140819_203.jpg
 
So unataka estates within Nairobi kabisaaa., weka niweke uone ukiishiwa pumzi.., na ukitaka weka miji around Dar tuone estates zao, najua ata Mwanza ama Arusha haviwezi karibia.., so kelele peleka mbali.., Tanzania ni fukara..,

Weka estates Dar vs Nairobi, ambayo tuliwalambisha sakafu.., then weka estates miji surrounding Dar.. tuone.., 😂😂😂😂
Ondoa shombo kwenye thread

Nimekuambia nataka brand new estate on the thread 44kms from CBDs within naipori-slums-everywhere, usijitie ukichaa

Hii ninayokuwekea ni brand new, slums zenu zote tunazijua, nataka kuona slum mpya ndio nijue kwenye naipori ni kubwa

Mtanzania hafai kuongea mambo ya barabara cause you only have one road that you have posted one million times. For the picture nimepost above I was just replying a certain fool who wanted to compare electricity access between Kenya and Tanzania. Kwanza hiyo Word Press imewahurumia cause world bank is placing your access at 30%😂😂😂😂
Unaropoka tu kama umekunywa maji ya chooni mwenyewe, mdomo ni wako tamba mama 😂😂
 
Dar yote ipo full urbanised we zoba
Angalia settings za location ya border line between Dar and Pwani regions ilivyo full occupied and planned in a sense of urban

Kumbuka Dar ni Nairobi 10
50 kilometers from CBDs
View attachment 1851546
Of course Dar yote ipo full urbanized. As you can see in these photos taken in Ilala, these areas are so much urbanized than you would find anywhere in Nairobi. Congratulations Tanzanians for making Ilala one of the most urbanised areas of Dar
Screenshot_20210713-153152~2.png
Screenshot_20210713-153128~2.png
Screenshot_20210713-153210~2.png
Screenshot_20210713-153250~2.png
Screenshot_20210713-153309~2.png
Screenshot_20210713-153502~2.png
Screenshot_20210713-153345~2.png
Screenshot_20210713-153605~2.png
Screenshot_20210713-153736~2.png
Screenshot_20210713-153755~2.png
Screenshot_20210713-153959~2.png
Screenshot_20210713-153331~2.png
 
Mtanzania hafai kuongea mambo ya barabara cause you only have one road that you have posted one million times. For the picture nimepost above I was just replying a certain fool who wanted to compare electricity access between Kenya and Tanzania. Kwanza hiyo Word Press imewahurumia cause world bank is placing your access at 30%😂😂😂😂
Word Press is a blogging site, pia mimi niko na account ya blog nao., Anyone can write, it is not a credible source, but opinionated pieces za watu binafsi, anything you get from Word Press lazima u substantiate na facts from credible sources kwanza. Nikama tu Wikipedia.
 
Nataka ulete any region in Tanzania tucompare Machakos County basi, na usianze kulia hapa.
Sasa small town ya machakos unataka ulinganishe na mighty regions za Tanzania!!! Unaakili kweli wewe.
Machakos tutalinganisha na Dumila Town.
 
Nime save hii comment yako 😂😂😂 Mijitu michizi haikawii kujitia vidole yenyewe ikanusa 😂😂.. nyie.. The best 007 njoo uku umuone mkenya anavyopuyanga
Jamaa anaita usaidizi🤣🤣🤣🤣, hata uite wenzako bado tazara will remain to be a flyover na sio interchange.
 
Dar tulikosa kabisa ya kulinganisha na kenya.., hakuna miundo mbinu ukitazama kwa umbali kaka.., wacha kujitia hamnazo., ikija miundo mbinu Dar ni hovyo zaidi!! 😂 😂 😂 😂 ., kenya iko na slums but ziko secluded in sections., sehemu zao, sio kutapakaa hivi

👇
View attachment 1852568
View attachment 1852581
Mbona unajitia wehu usiokuanao.? Weka miundombinu yoyote ambayo ipo Nairobi tu alaf unahisi Dar hakuna nikuaibishe hapa (Angalizo, miundombinu ndani ya Nairobi tu), me huwa sichekagi na kima.
 
Sasa small town ya machakos unataka ulinganishe na mighty regions za Tanzania!!! Unaakili kweli wewe.
Machakos tutalinganisha na Dumila Town.
Tayari ushaanza kulia😂😂😂😂, nimekuambia ulete any region in Tanzania enye umejiamini nayo tulinganishe na Machakos County.
 
Unaropoka tu kama umekunywa maji ya chooni mwenyewe, mdomo ni wako tamba mama 😂😂
Mbona mnakasirika na ripoti za WB ambazo zinawaweka chini ya Kenya lakini the same WB wakisema nyinyi sasa ni mido income country mnanengua viuno?
 
Mtanzania hafai kuongea mambo ya barabara cause you only have one road that you have posted one million times. For the picture nimepost above I was just replying a certain fool who wanted to compare electricity access between Kenya and Tanzania. Kwanza hiyo Word Press imewahurumia cause world bank is placing your access at 30%😂😂😂😂
Kwahiyo magari yetu tunaendesha kwenye miti. Hata kama hunaakili tumia makalio kufikiri.
 
Word Press is a blogging site, pia mimi niko na account ya blog nao., Anyone can write, it is not a credible source, but opinionated pieces za watu binafsi, anything you get from Word Press lazima u substantiate na facts from credible sources kwanza. Nikama tu Wikipedia.
But hiyo picha nimeweka is not from WordPress.
 
Mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe. Hebu check mfano wa mambo.
Mbona unaficha ficha vitu!?
View attachment 1852569
Is this a response to what u were arguing against kaka?., Yaani unakwepa kwepa baada ya kupata jibu.., ulikua unapinga Mombasa road kutokua na dual carriage way.., what is this you are posting for me?.., sasa umekubali Mombasa road from CBD to Machakos imekua dual miaka mingi sana!., Sasa inapanuliwa from Mlolongo to past Westlands into expressway.., unasemaje?
 
Back
Top Bottom