Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwikwikwiwkwi. Utakoma, sasa nataka ulete za kwako unazoziamini kwikwikwi.
😀😀😀😀😀 napenda vile mkishindwa mnaanza ku catch feelings...ati kwikwikwi wtf!!
kubali dawa yaingie as you guys say....relax
 
japan wametushinda na 8 cents unaskia...tunazidi south korean won
Mtu asiyejua hata kusoma exhcange rate utaweza kweli kushindana na sisis. Au ulikimbia shule?
Ina maana Japan mnawazidi. Kenya sh ipo juu ya Japan yen means
1KS = 1.08 Yen
Je mnawazidi kwa lipi Japan?
 
Ndogo unapoanzisha kitu uwe na uhakika kwamba unakijua usije ukakimbia humu jukwaani. Leta hizo taarifa zako. Sisi tupo full informed
we ndio unafika,actually ndio tumeshamaliza so next time get here in time and i will ansewer you....Meanwhile you can check earlier posts,hazijakuwa deleted
 
Mtu asiyejua hata kusoma exhcange rate utaweza kweli kushindana na sisis. Au ulikimbia shule?
Ina maana Japan mnawazidi. Kenya sh ipo juu ya Japan yen means
1KS = 1.08 Yen
Je mnawazidi kwa lipi Japan?
my bad,meant tumewazidi na 8 cents,
thanks for the correction
 
Mtu asiyejua hata kusoma exhcange rate utaweza kweli kushindana na sisis. Au ulikimbia shule?
Ina maana Japan mnawazidi. Kenya sh ipo juu ya Japan yen means
1KS = 1.08 Yen
Je mnawazidi kwa lipi Japan?
Feelings waachia coca cola msee.

sent from iPhone 7
 
Tz transacted 25 b USD
KENYA 70 b USD get that

sent from iPhone 7
😀😀😀😀😀😀😀 punguza hasira
Screenshot_20170718-194817.jpg
 
we ndio unafika,actually ndio tumeshamaliza so next time get here in time and i will ansewer you....Meanwhile you can check earlier posts,hazijakuwa deleted
Kwikwikwikwi. Umemaliza kitu gani sasa, mbona unakimbi kama huna akili nzuri? Hizo transaction za Safaricom ziko wapi?
Au umeanza kuwehuka? Leta hizo transaction zako unazoziamini
 
Back
Top Bottom