Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umekuja kuharibu siyo. 🀣 🀣🀣
Mimi siko mlivyo, siwezi kukojolea mada kama wewe ulivyo ukilemewa ama kukosa jibu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ni tabia yako na wengine watatu wanajijua,., I expressed my objective observation so far, umepigwa 10 - 0!., sasa ni vijimaneno tu, na vipicha hafifu..,
 
Mzee mbona umeanza kulia lia tena. Kenyatta university ulishaiweka hapa. Vipi tena. Nimekwambia leo mpaka ujinyee.
Toa ujinga hapa hata huna haya jana wakati wabattle ulikunja mkia ukatoroka sahii ndo unajua kufungua mdomo hehe Tia bidii msee
 

nan ana ile meme pic ya dogo anataka kuendelea kupigana ila kcharwazwa vibaya(ambayo yuko tired ila anataka kuendelea kupigana)
ile meme ndo inamuelezea jamaa alichofanya hapa[emoji23][emoji23]
 
Niliwapa kichapo kwenye sector ya elimu mkapoteana humu usijisahaulishe

Mtujengee sisi bullet trains wakati mitungi yenu ya chang'aa ya medieval age imewashinda mpaka mchina akaingilia kati?
Mlituchapa wapi???? In what aspects exactly??? Naombo we rerun that battle sababu kwa elimu Naaminia kenya saaaana
 
nan ana ile meme pic ya dogo anataka kuendelea kupigana ila kcharwazwa vibaya(ambayo yuko tired ila anataka kuendelea kupigana)
ile meme ndo inamuelezea jamaa alichofanya hapa[emoji23][emoji23]
Kiswahili ya vijiweni weka pembeni., ingia battle weka mwenzako aweke, hii tabia yenyu ya domo domo punguza, wacha facts ziongee.., mnatia huruma, mbona mmechoka hivyo? Tanzania ni nchi 'ndogo" sana., πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
nan ana ile meme pic ya dogo anataka kuendelea kupigana ila kcharwazwa vibaya(ambayo yuko tired ila anataka kuendelea kupigana)
ile meme ndo inamuelezea jamaa alichofanya hapa[emoji23][emoji23]
Sahii hata nisha collect picha zingine mkitaka the battle to continue tunaeza endelea kama hamwezi mupunguze kelele
 
Mlituchapa wapi???? In what aspects exactly??? Naombo we rerun that battle sababu kwa elimu Naaminia kenya saaaana
Hawa wachana nao sasa ni Kiswahili wata andika, kawaida ya watanzania, kiswahili mingi badala wawache vipicha vyenye wame post vijitetee.., ina maana wameishiwa pumzi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kiswahili ya vijiweni weka pembeni., ingia battle weka mwenzako aweke, hii tabia yenyu ya domo domo punguza, wacha facts ziongee.., mnatia huruma, mbona mmechoka hivyo? Tanzania ni nchi 'ndogo" sana., [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

sina huo mda wa kupost picha za kugoogle.. wacha walizonazo hizo picha wapost
 
Bongolala, huu uchungu wote ni wa nini sasa? Facts scream louder than this noise you are making here. Kenya's economy is driven by three main things: agriculture, tourism and service industry, three areas that Kenya scores highly than Tanzania.

Unazungumzia agribusiness na kusema tunavusha mazao yenu. How stupid and laughable! ''Tukizivusha'' nyinyi mnafanya nini? Lame excuses as always! As I type this, Kenya controls 38% of the European Union horticultural market. Are you aware of this? These are documented things, not my own words.

  • Industrial sector tumewaacha by far.
  • Service sector tumewaacha by far
  • Financial sector tumewaacha by far

Bongolala, if you think you got the nerves then I am ready to dehorn you and remind you where your rightful place is.

As I said before, facts scream louder than empty rhetoric words. Tuchambue data za hizi nchi mbili kwenye hizo sector tujue mbivu na mbichi. Just remind your fellow idiots to keep off this discussion; just you and me. Tell me when you are ready
 
Mkuy itabidi wale madalali wa dar alowataja polisi wahusike kuwasaka, manake wale itakua wanazungusha mabilioni ya pesa lkn sisi hatujui...
Hienda tunawaonea sana wakati wao kumbe wana madalali ambao hawajulikaniwi[emoji1787][emoji1787]

Nicxie nilijaribu nisicheke lkn nimeshindwa mzee, nakuomba ushirikiane na TISS watafutwe haraka iwezekanavyo hawo madalali mwitu
 
Huenda wako na madalili lakini labda wa kuuza mabanda zile zao za dreamhouses. KnighFrank wanasema wanapata mdu mgumu sana kuuza properties in Dar compared to Nairobi alafu mitanganyika zinakuja hapa na kelele za madalali!
 
Itakua vigumu kuelimisha a Tanzanian with blind patriotism syndrome., hawezi kuambilika chochote ambacho hakiambatani na fikra zake., utachoka buree., bora u just post undeniable facts.,
 
πŸ’‰ πŸ’‰πŸ’‰πŸ€£πŸ€£πŸ€£ pole sana mzee. Siku nyingine usirudie nitakumaliza. Usicheze na TZ mdogo wangu. Bado vyuo kibao sijaweka.
Kiswahili kitukuzwe, jamaa kasepa kijanja πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…