WIVUUU kisa hamuna, idiot.Na nawaambia ukweli leo tarehe 08.07.2021 kwamba hii interchange itaanguka, siombei iwe hivyo bali ni kwasababu ya jinsi ilivyojengwa ni kama imepachikwa tu, very low quality engineering.
Unanyongwa kweli 😂 😂 😂 😂 😛Jamani c mmeona hili kaburi jinsi lilivyo? Nyie ngojeni mtaniambia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1846111View attachment 1846112
Kwahiyo Russia ndio waliowaibia Kunyaland?View attachment 1846791
What about that????
Hii nayo ni University au kiosk?Africa International University nairobi
View attachment 1846919View attachment 1846922View attachment 1846924View attachment 1846941View attachment 1846944
Hapa haujamwambia poa, they are empty debes! hazina rank ata EAC 😂 😂 😂And you give there ranking in africa
Kwhyo mji unafaa kuwa na interchange moja sioMna interchange au roundabouts? Tujenge roundabouts bila reasons sababu tunataka kuziona tu roundabouts mijini? Akili zenu ndogo kweli
Hehehe!!narudia tena, bajeti yetu ta elimu inawajengea nyie sgr[emoji1787][emoji1787] we ukitaka lia sasaNiliwapa kichapo kwenye sector ya elimu mkapoteana humu usijisahaulishe
Mtujengee sisi bullet trains wakati mitungi yenu ya chang'aa ya medieval age imewashinda mpaka mchina akaingilia kati?
Ameleta mingi sana bila vijimaneno, wewe unaleta na kupayauka pia, yaani havitoshi kujisimamia😂😂😂😂 wapi jibu, nikizipanga one by one VS zile secondary schools(oops Tanzanian Universities eti) umeleta, you are below, so puinguza Kiswahili kama kawaida, weka vipicha vijitetee., kumbe mko ovyo hivi? 😂 😂 😂Simba 254 tunasubiri vituko sasa. Maana ndio mwisho wako hapo. 🤣 🤣🤣
Hatufanani mzee, msilazimishe tuwe km nyinyi wajati uwezo wetu mkubwa..Waziri ndio kipimo cha context ya local government au ni matumizi mabovu ya pesa za umma kuunda vyeo vya kishenzi kulipana mabilioni wakati mnakufa njaa
Ndio maana 90% ya makusanyo yote ya KRA ni kulipa mishahara.
I like the way ume handle vilaza., less talk more evidence.., picha bila vijimaneno! 💪 😀 wao vipicha vichache with more talks, colleges uchwara zinaitwa University lazima ziambatanishwe na maneno..,
Umekuja kuharibu siyo. 🤣 🤣🤣Ameleta mingi sana bila vijimaneno, wewe unaleta na kupayauka pia, yaani havitoshi kujisimamia😂😂😂😂 wapi jibu, nikizipanga one by one VS zile secondary schools(oops Tanzanian Universities eti) umeleta, you are below, so puinguza Kiswahili kama kawaida, weka vipicha vijitetee., kumbe mko ovyo hivi? 😂 😂 😂
Wewe sema ukweli sio ku bit around the bush,ni hivi kwenye ubora wa kilimo,teknolojia nk hatuwezi kuwafikia Wakenya na tunatumia mbegu zao nyingi na kujifunza kuanzia kwao .maoni yangu. hizo posts za mazao hazina uhalisia.. mfano unaweza kutoa picha google za kilimo cha mahindi za mwaka 2000 huko ila saiz hawalimi tena au shamba limefifia
Sijawai ona mtu hana aibu kama wewe hehe after kushindwa sasa tena unaleta vitu mbovu mbovu hata kuharibu zaidi 🤣🤣🤣🤣 maskini wa mungu jikaze tu kuondoa aibu 🤣🤣🤣🤣🤣Kampala International University in Tanzania
View attachment 1848227
View attachment 1848228
View attachment 1848230
View attachment 1848235
View attachment 1848236
Mzee mbona umeanza kulia lia tena. Kenyatta university ulishaiweka hapa. Vipi tena. Nimekwambia leo mpaka ujinyee.Sijawai ona mtu hana aibu kama wewe hehe after kushindwa sasa tena unaleta vitu mbovu mbovu hata kuharibu zaidi 🤣🤣🤣🤣 maskini wa mungu jikaze tu kuondoa aibu 🤣🤣🤣🤣🤣
Umeiona kenyatta University hadi ina mall ndani hospitaly ya kimataifa hehe na bado unakuja na vijibanda bila haya eeh we mwanaume kweli look at usiu library snd gym pekee utoe upuzi hapa sahii
View attachment 1848245View attachment 1848246View attachment 1848247View attachment 1848248