Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamjitambui nyie,tumekubaliana BET kama kali amewahi shinda BET,we unaleta tuzo uchwara ambazo wasanii wa bongo wanazo kama mchanga,hizo afrimma ndo tunachukua kila siku,halafu kali kawa nominated BET mara moja,ndo ashindane na nani sasa
 
Khaligraph - BET Hip Hop Awards 2020(nominated)
Camp Mulla- BET International Award 2012(nominated)
Sauti Sol - BET best international act:Africa 2015(nominated)
Hiyo ni BET tu, sijataja nominations na wins za international awards by Kenyan artists.
Hao wasanii wenu watoe kwanza ngoma kali kama hiz . Alaf ndio ulete hii mada tena
 
. Yo this is tz's new school kings .. Salmin Swags Kim Dawizzy unatakiwa ujue kwamba tz is the home of EA's talents .. Africa nzima mpinzani wetu ni Nigeria tu
 
Alafu for the Electric Locomotives i think zitakua hizi..hizo 80 ..zina max speed ya 165km/hr
 
Iko vizuri

Yeah kaka ziko vizuri..naona pia ndo maana Korail walihusishwa kwenye deal la SGR....kwa uelewa wangu na hisi hii ni batch ya pili..first deal ilikuwa lile la 60mil usd
...Total imefika 357Mil usd ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…