muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,852
Unaweka picha za kuubwa utafikiri vile huko ndo unaenda kununua sikuma wiki na unga wa ugali. Ni asilimia ndogo sana ya wakunya wanendaga huko. Huko Ni kwa wazungu tu labda na familia ya kenyatta na odingaWeka vya Tanzania.., wivu isikunyonge.., mmekosa vya kupost kutoka down south, unajaribu kujiliwaza., fukara![]()
![]()
kila aina ya maisha tuko nayo.., meza wembe.,
View attachment 1843244
View attachment 1843246
View attachment 1843248
View attachment 1843253








