Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama Dar hapa👇👇., CBD yoote ndani., Ushuzi ndio kubwa uwezi shika kwa picha moja.., but CBD., hamna kitu.., kazi yake tumemaliza.., Kiswahili sasa kitukuzwe tu.., yaani mmebakia na maneno tupu..,
 
Wewe fukara wa EA upoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Fukara ni jina lenyu la katikati..,😂😂😂., usijaribu kutugeuzia.., hiyo ni yenyu, ina sound tu kama Tanzania kabisaa., Mifukara., yaani nchi fukara, watu fukara😂😂😂
Kiswahili.., nchi ya malofa😂
 
Kuna aina tatu za photographs
  • Ground (Horizontal) Photographs.
  • Oblique Photographs.
  • Vertical Photographs
Huwezi kabisa kupiga Oblique na Vertical.
Apige yeye ana camera? Maskini wa kutupa uyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na huo udogo wake bado Nairobi ni two times wealthier than Dar😂😂.
Facts will kill them.., CBD Dar ni ndogo sana!!!., hiyo kwa sasa iko wazi., Sq km my foot!😂😂😂., imejazwa na unplanned village housing, eti middle class residentials., even worse!😂😂😂 Town ni ndogo sana and less developed kwa Nairobi CBDs..,
 
Mbn huwa unajichanganya? Mara useme Tz ni Dar tu mara useme imejazwa na unplanned settlement inferiority complex itakuua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama Diamond ni mpumbavu manaake anawakilisha wapumbavu EA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo hatuwakilishi sisi, anawakilisha bongo, yaani Tanzania 😂😂😂., jamaa waki mu interview huwa namuonea haya., reasoning yake ni uchwara sana, kama wengi mlivyo jidhihirisha humu., talent yake inafunika hiyo aibu afadhali., lakini maisha yake na fikra zinamuumbua😂😂., afadhali angekua na hiyo maisha yake crooked kama vile celebrities kadhaa hukua, but strong in articulating issues, stable mind and rational reasoning. But Diamond ni fala, with all due respect for his talent 🙏.,
 
Wewe hunanga akili, so nyumba refu isionekane kwenye picha cause haipo Kilimani? Ama unapinga kuwa happy sio Kilimani?😂😂😂
Hiyo ndio kitu inasumbua huyu mtanganyika. Anafikiri Nairobi ni kama Dar that has linear type of development. Nairobi iko na maghorofa marefu kila kona, sio kama Dar ukipiga picha ni uswazi kila mahali
 
Hiyo ndio kitu inasumbua huyu mtanganyika. Anafikiri Nairobi ni kama Dar that has linear type of development. Nairobi iko na maghorofa marefu kila kona, sio kama Dar ukipiga picha ni uswazi kila mahali
Weka hayo maghorofa tuyaone alafu na mm niweke ya Dar ili tulinganishe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…