Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

good life in kenya
emoji23.png
emoji23.png
emoji2960.png



Weka vya Tanzania.., wivu isikunyonge.., mmekosa vya kupost kutoka down south, unajaribu kujiliwaza., fukara 😂 😂 😂 kila aina ya maisha tuko nayo.., meza wembe.,
1625570065863.png

1625570101822.png

1625570174635.png

1625570251981.png
 
Uneanza kuweka masoko mzee. Nimeshakuja usikimbie
Hivyo vyenyu vya kienyeji, only building ndio ya maana baki nazo., tuwachie malls zetu na unique design market places coming up.., zenyu za mama mboga na mama ntilie kaeni nazo., private sector, capitalism on steroids, yaani ubepari., ujamaa hatutaki.., nenda kachukue tembo kwa bill yangu hapa 👇 👇 👇 .., kisha ukanunue mihogo kwa hizo soko zenyu..,
1625570651730.png
 
70% ya produce on display inatoka Tanzania! Kuanzia fruits mpaka vegetables mpaka pulse mpaka meat mpaka sembe!
Tusiponunua wewe hauna bando ya kuingia humu., na clan yenyu hawatavaa!😂😂😂,kisha wa kenya wanatengeneza faida zaidi mara kumi ya wakulima wenu fukara.
 
Tusiponunua wewe hauna bando ya kuingia humu., na clan yenyu hawatavaa![emoji23][emoji23][emoji23],kisha wa kenya wanatengeneza faida zaidi mara kumi ya wakulima wenu fukara.
Wakenya gani wakati tuna mamilionea wengi kuliko nyie
 
Us we increased maybe Ethiopia worked way more hard but as for tanzania imelala darasani hehe kazi ni kujisifu tu online but when real results come the gap increases. Bytheway it's TRUE mbwa anaye bweka saaana hawezi uma mtu. Fear the silent dog..... kumbe bile tanzania wamejaa mtandaoni kujisifu kila mahali reality ni they over estimate themself
Kaa kwa kutulia kijana
 
Wakenya gani wakati tuna mamilionea wengi kuliko nyie
Pesa wanaziweka wapi?.., kwa magunia? those millionaires their wealth zinge reflect in your banking sector performance, kama unaelewa economics, so that must be data uchwara serikali ya CCM ilitoa for international body kutumia to rank Tz ili kujikweza, facts speak otherwise! mko ovyo zaidi ya vile CCM ilikua inawaelezea, waulize CAG.., eti mamilionea, mbona 2021 waliporomoka kama maji kwa mtaro? huoni ni uchwara!

Angalia kipato cha nchi yenyu kwa mwaka? kisha linganisha na budget yenyu? yaani mapato ya kenya ni zaidi ya budget yenyu kwa mbali.., facts! watoa ushuru ni wengi na wako na uwezo wa kutoa, nyie fukara ni wengi serikali pia inachangia kuweka masha magumu kwa mwana biashara, na kiswahili mingi tu ndio mko nayo.
 
Nitumie nini Tanzania tumeshaanza kusafirisha mazao yetu wenyewe
Mkipeleka wapi? kama nilkuleta Kenya hamuwezi kuuza kwa soko direct, lazima muuzie middle men, ama cartels 😂 😂 😂 , na serikali imeongeza ushuru ili pia kujitengenezea faida! wakenya wajanja wananunua kutoka kwa middlemen na cartels ili wao wauze kwa wholesale price kwa masoko mashinani na kudistribute kwa supermarkets., nyie mnapewa hela kidogo ambayo mnaridhika kwasababu ni zaidi ya kule kwenyu, mnadhani mko sawa lakini wapi., kisha wakenya wajanja pia wanazinunua, wanapakia na kuweka kwa KQ or Ethiopian Cargo, na kuzisafirisha Qatar na Dubai.., na Europe.., I know guys doing well kwa hii biashara, so sio nguvu bali akili tu. Tunafaidika zaidi kutokana na jasho ya wakulima wa Tanzania na uganda!.,
 
Mkipeleka wapi? kama nilkuleta Kenya hamuwezi kuuza kwa soko direct, lazima muuzie middle men, ama cartels [emoji23] [emoji23] [emoji23] , na serikali imeongeza ushuru ili pia kujitengenezea faida! wakenya wajanja wananunua kutoka kwa middlemen na cartels ili wao wauze kwa wholesale price kwa masoko mashinani na kudistribute kwa supermarkets., nyie mnapewa hela kidogo amboyo mnaridhika kwasababu ni zaidi ya kule kwenyu, mnadhani mko sawa lakini wapi., kisha wakenya wajanja pia wanazinunua, wanapakia na kuweka kwa KQ or Ethiopian Cargo, na kuzisafirisha Qatar na Dubai.., na Europe.., I know guys doing well kwa hii biashara, so sio nguvu bali akili tu. Tunafaidika zaidi kutokana na jasho ya wakulima wa Tanzania na uganda!.,
Nani kakudanganya tunauza soya china na mazao mengine yanauzwa sehemu nyingine
 
Tunazungukwa na nchi nyingi sio Kenya Tu.
Hizo nchi zingine ni fukara zaidi ya ata Tanzania fukara, na hawaitaji mazao ya shamba kwa wingi, ndio maana vile kenya ilifunga mipaka, wakulima wenu wali fedheheka sana, mazao yao yaliharibika na wengi walipata hasara kubwa kwa vile walikosa pakupeleka kwa bei mzuri.., I followed closely the effects of the closure, ndio nikajua kenya ni babalao, nyie ni domo domo tu humu.
 
Back
Top Bottom