Hotels tulishamalizana na uzuri mmekubali kama unabisha nianze kuweka ambazo hazikuwekwa kabisa humuThat's Movenpick Hotel in Westlands bongolala.
Mkishapata kichapo wacheni kuleta visingizio na vijisababu
Ukiwafukara usi lazimishie wengine pia wawe fukara vumilia na hali yakondoto za chokoraa,,sikuzote huwa anaandika kwa mihemko,
na ndoto za fukara siku zote huwa anaota ndoto zisizo na kichwa wala miguu..
asilimia 100 ya wakenya mlio hapa ni fukara,jobless hivyo jitahidi kusaka mkwanja mmiliki nyumba na mandinga zaidi ya mbili la sivyo mtaishia kupoteza mda for nothing mkiendelea kuiga mambo yanayotoka kwetu sisi watz wenzenu tupo njema kimaisha.
Mnatia huruma.., sasa eti hizi ndio za kuringia eti blue building? vioo vinakutia orgasm hivi! 😂 😂 😂 😂 .., zinakaa kama appartment ama just a simple shopping centre, eti blue building, lishamba lya kijiji limetembea mjini linashangaa shangaa na vitu vidogo!😂😂😂😂Siku Kenya mkiwa na blue buildings kama Dar mnipigie Simu.
Hii view Nairobi wanaitamani.
View attachment 1841568
View attachment 1841569
Hii sio Hilton wewe mjuaji uchwara.,. ni Nation Centre, headquaters ya Nation Media Group., wamiliki wa gazeti lenyu la Mwananchi na The Citizen..,Hilton Hotel Jengo Ovyoooooo
So world bank ni waongo au???🤣🤣🤣🤣Nimekuambia siku umasikini wenu itaanza kupimwa kwa dola tatu kwa siku njoo kwenye meza ya mazungumzo. Kwa sasa, nchi hazina mbele wala nyuma kama hiyo yenu bado inapimwa kwa kiwango cha dola moja kwa siku
Oneni ushuzi huu aliopost kilaza wa aina yake 😂😂😂😂😂😂One of best section of Dar CBD..,
View attachment 1841937
VS Westlands Business District..,
View attachment 1841934
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aisee mumewanyima usingizi mujueHotels tulishamalizana na uzuri mmekubali kama unabisha nianze kuweka ambazo hazikuwekwa kabisa humu
Washaanza kuliwazana baada ya kuwachapa viboko vikali [emoji1787]🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aisee mumewanyima usingizi mujue
Oneni ushuzi huu aliopost kilaza wa aina yake 😂😂😂😂😂😂
Viboko hvo vimewakimbiza kwenye hoteli🤣🤣Washaanza kuliwazana baada ya kuwachapa viboko vikali [emoji1787]
The best 007 na dadake Venus Star wamekutuma kutuliza maumivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Viboko hvo vimewakimbiza kwenye hoteli🤣🤣
Ni wapi nimesema WB ni waongo? Kama ni waongo ningekubali kwamba sisi wanatupima kwa kiwango cha dola tatu kwa siku na kupata 40% ya wakenya wakiishi chini ya hiyo dola tatu kwa siku?So world bank ni waongo au???🤣🤣🤣🤣
Maneno mingi ya nini? Weka list yako ya 5-star hotels za Dar nami niweke za Nairobi. Mbona jambo rahisi tu?Hotels tulishamalizana na uzuri mmekubali kama unabisha nianze kuweka ambazo hazikuwekwa kabisa humu
Kilaza hii nakupa somo lingine uzunguke Afrika ukitafuta jengo kama hili na ukipata usisahau kunitagView attachment 1841663