The greatness of a hotel is measured by its star rating. So far, Nairobi beats Dar hands down in 5-star hotelstulia ni mambo madogo tu,,tena mimi usiniguse kabisa .
nimejiweka bench maana nikiingia nitaharibu halì ya hewa,sijaona hotel ya maana kwa hapo kenya interm of services hivyo huwa sichambui majengo pekee huwa nakandamiza misumali indeep kabisa.
1.dian
2.kempisk
nazipa dole kuna service nzuri hata mteja ukiingia unafeel gud hizo nyingine ni gither bar
Vilaza leo mtatiicopy and paste!
Hili nalo ni jengo la kujitamba? Kuna dumping site karibu!Dar slum ni kama Githurai hapa NairobiView attachment 1841689
Hii inapatikana Nairobi pekee...tembea dunia yote ukipata nitagHili nalo ni jengo la kujitamba? Kuna dumping site karibu!
This time mtahangaika sanaHili nalo ni jengo la kujitamba? Kuna dumping site karibu!