Tena shule zote hizo za mikoani, hakuna shule za Dar, me mwenyewe nawaleta kwanza wasifikiri nimeanza tayari 😅😅Mkuu ulitumia nyundo kuuwa mende, mwenzio nlikuwa nampeleka taratibu ili avutike alafu ndo tuje tumuue ila we ushauwa tayari, atakuja na maneno ya kanga ila msururu wa buses km huu daima hatoweza kuonesha.
Ooiii pigo lingine hili Wakenya tumewapiga, yn hakuna battle mmewahi shinda ukiacha ya mchezo wa kitumwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona umebaki na maneno ya khanga, mtz eti kabisa kitu awe nacho halafu eti asinaze mipicha mipicha humu..Hapa ndipo huwa naamini Tz imewaacha mbali sn wenzake, yn ukifananisha social services zinazotolewa kwa wenzetu na hizi za kwetu ni mbingu na ardhi, Wakenya wanaofundisha Tz watawaambia ukweli, hivi vitu ni vya kawaida mno huku kwetu, unakuta shule ya kawaida ina buses nyingi za adabu, eti kwenu shule nzima ina buses 3 old fashioned, tatizo Wakenya wa humu hawasemi ukweli hata ambao wanaishi na kufundisha huku kwetu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tena shule zote hizo za mikoani, hakuna shule za Dar, me mwenyewe nawaleta kwanza wasifikiri nimeanza tayari [emoji28][emoji28]
Maskini[emoji1787][emoji1787]Naanza sasa, St. Anne Marie school buses [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1838884View attachment 1838885
Naton Jr keshawatia tayari pitia juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona umebaki na maneno ya khanga, mtz eti kabisa kitu awe nacho halafu eti asinaze mipicha mipicha humu..
Sema unaogopa aibu mzee acha maneno mengi
Ulishindwa kuleta makaazi sio[emoji1787]Zipo nyingi mbn ukitaka naongeza cz Tz is the home of concrete jungle in EA [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]View attachment 1838889
Hiyo shule international au? Maana hayo mabasi gharama yake halafu yawe yanachukua wanafunzi asubuhi na kuwarudisha jioni siku nzima yanapigwa na jua? Hebu hiyo shule yenyewe?
Zipo shule nyingi zenye mabasi mazuri, kama hii ni boarding lakini ina mabus mazuri yanayopark karibu muda woteHiyo shule international au? Maana hayo mabasi gharama yake halafu yawe yanachukua wanafunzi asubuhi na kuwarudisha jioni siku nzima yanapigwa na jua? Hebu hiyo shule yenyewe?
Hii pia ni private school [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maskini[emoji1787][emoji1787]
Tena hyo ni private school
Basi moja mawili sawa sasa jamaa ana Marco polo 5! Kampuni ya mabasi hiyo!Zipo shule nyingi zenye mabasi mazuri, kama hii ni boarding lakini ina mabus mazuri yanayopark karibu muda wote
View attachment 1839100View attachment 1839103
Ila mkuu umejuwa kuwapiga, ona mwenzio mabasi aliyoweka alafu na wewe uliyoweka, ni mbingu na ardhi, unajua tatizo cc Watz co watu wa majivuno ila kwa Afrika hii ni nchi chache sn znazoweza kutuzd cc na naweza sema hazzd 3.Zipo shule nyingi zenye mabasi mazuri, kama hii ni boarding lakini ina mabus mazuri yanayopark karibu muda wote
View attachment 1839100View attachment 1839103
Hzo nakuapia ukileta highschool huku wanafunzi wanagoma[emoji1787][emoji1787]
JNHPP itafua umeme 80 X !Thwake Dam | 0.681 CU.KM | 23 MW | U/CView attachment 1838968View attachment 1838969View attachment 1838970View attachment 1838971View attachment 1838971
Hzo nazo school busses jamaniWe mpumbavu kweli, yaani ninyi bado sana
Asa wakiitwa wenye school buses na Kenya mtatoka?
View attachment 1839040View attachment 1839041
Ndipo Tz ilipofika hapo mkuu, so kulinganisha na nchi zingine ni km matusi, nilipoona kuna mkunya kaanzisha battle ya buses nikajua keshataga tayari cz hawezi shinda hiyo battle na hapo bado kabisa kuna shule nyingi mno Tz zenye school buses za adabu.Basi moja mawili sawa sasa jamaa ana Macro polo 5! Kampuni ya mabasi hiyo!
Nanyi mumwambie nonini aumize kichwa awe nominated BETKm hujaelewa hapo pole sana, mwambieni domo aumize kichwa akitaka kuchukua BET
Hatutaki maneno maneno kama unaweza weka niweke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hzo nazo school busses jamani
Viberiti sio[emoji1787][emoji1787]Hatutaki maneno maneno kama unaweza weka niweke [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tayari khaligraph kawana nominated mbele ya domo mwaka janaNanyi mumwambie nonini aumize kichwa awe nominated BET