Nyumba za dar ni za block tena kwa ground ni nzuri sana π€£π€£π€£ siku hzi ndugu yako haitaji tena tandale baada ya kumletea videos mpaka leo anaiheshimu tandale πππ yani mzungu awe mjing kuliko weweYani tofauti Kati ya hizi picha mbili ni kama usiku na mchana.πππ
View attachment 1836121View attachment 1836122
Uchiboy bado corona haijaKnockOut?Nyumba za dar ni za block tena kwa ground ni nzuri sana π€£π€£π€£ siku hzi ndugu yako haitaji tena tandale baada ya kumletea videos mpaka leo anaiheshimu tandale πππ yani mzungu awe mjing kuliko wewe
View attachment 1836421
Na ruhusiwa kuzoom π€£π€£ππππUnakumbuka time flani mwaka jana ukikana hii picha ya Kipawa Ward Dar na kusema si Dar?
View attachment 1836123
Bado utaendelwa kuikana leo pia? Ona hizo nyumba nzuri za kupendeza macho tena zenye ubora ya hali ya juu zilivyopangwa zikapangika! Kisha angalia jinsi kuna nafasi ya kutosha hadi watu wameegesha magari zao nne ya milango zao. Maisha uswazini inapendeza jamani!
Ndani ya CBD kuna slum tayar ππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1836186View attachment 1836187
Mbona na upper hill iko ndani au nqdanganya π€£π€£π€£π€£π€£
Upperhill
Tuliza kalio wewe ππUchiboy bado corona haijaKnockOut?
This Westlands, it has more buildings than entire Dar when it comes to over 30 floors. It is richer than Dar, it's more developed than Dar.
View attachment 1836085
kwani nyinyi ndo afadhali.. 63M!Wewe Huu Ni mwaka gani? Stat za miaka 2 iliopita buda? Hampungui 53MView attachment 1836341
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Kibera usiku na mchanaπ π π
Mzungu ako sahihi kabisa wala usijaliView attachment 1836079View attachment 1836089View attachment 1836090View attachment 1836091View attachment 1836092View attachment 1836093
Yaani jeshi la Congo lile ninalolijua mimi limewazidi wakunya kwa ubora!????..ndo maana si ajab kuona wanajeshi wa Kenya wakidondoka na parachute mbele ya raisi
Hizi slum ni aibu sana kwa wakunya,na ndio maana wanalazimisha na nchi nyingine ziwe na slums ili wajifariji!Mzungu kadanganywa hapo wanaishi nguruwe kumbe binaadamu Nicxie
View attachment 1836069View attachment 1836073View attachment 1836074View attachment 1836075View attachment 1836076
Hapo nilipopigia mstari panachekesha π,halafu huyo jamaa kaziorodhesha slums za nbo tu hapo πUnakumbuka time flani mwaka jana ukikana hii picha ya Kipawa Ward Dar na kusema si Dar?
View attachment 1836123
Bado utaendelwa kuikana leo pia? Ona hizo nyumba nzuri za kupendeza macho tena zenye ubora ya hali ya juu zilivyopangwa zikapangika! Kisha angalia jinsi kuna nafasi ya kutosha hadi watu wameegesha magari zao nne ya milango zao. Maisha uswazini inapendeza jamani!
Warusi na waukraine hii july wamefungua tena route ya zenji,mkuu sikufichi itakua disaster kwa hao jamaa walivyotokea kuikubalia blue safari ya zenji,hao kwa siku kupokea watalii 400 ni kawaida itakua,zenji ijiandae hasa neema inakuja
Yani nimecheka mpaka basi anafananisha nyumba za dar zenye ubora π€£π€£π€£ kipinfi cha nyuma alikua akiisema sana tandale nilipokwenda kumuinesha vitu kwa ground tokea siku sijaskia akiitaja tandale ππ
Hapo nilipopigia mstari panachekesha π,halafu huyo jamaa kaziorodhesha slums za nbo tu hapo π
View attachment 1836453