usinikumbushe zile basi zao za kwenda machakos..Kenya Buses this is 2015
This 2013 hapa chini:-
Huu ni usafiri ukitoka nje ya Nairobi.
Mabasi mazuri kidogo ni ya kenda Mombasa kwingine ni hatari sana. But Tanzania nchi nzima standard ni ile ile hata uende mkoa upi utapata mabasi yale yale by Dar COACH.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huu Uzi Leo umekaa vibaya sana kwa hawa jamaa toka Kenya nchi ya njaa na Ugaidi,
Sasa wanajaribu kukimbia battle kwa kuhamisha concentration.
Please stick on trending topic.
Me love fish man....dar es salaam in a local perspective.
kivukoni fish market.
hahahahaha... Annael unaua.Kenya Buses
Hahaha!!! Vijana wa Nairobi mko wapi?
karibu sana dar es salaam.utakula samaki kwa kiasi unachotaka.Me love fish man....
[emoji79] [emoji79] [emoji79] [emoji79] [emoji79] [emoji79] [emoji79]Kenya Buses
Lol....hateruvumilivu umekushinda....apart from the graffiti, I see nothing special about your buses.
Annael naomba ruhusa yako ya ku-repost zile picha zako za asubuhi ili twende sambamba na huyu jamaa.
KZT niya 1990s hapo naona umekosa kazi.many Kenyans wanatumia 14 seater matatu kuenda western na central Kenya ..Mombasa,Kampala na northern Kenya ni buses juu ni mbali.Kenya Buses