Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwezi compare hizo face me trucks with this, hizo nikama zile lorry huwabeba huko tanzania ocha.
AB.jpg
wiz.jpg
 
about yesterday:
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
this afternoon in LDC:
fresh cassavas from LDC mashinani being taken to the local food market in dar es salaam.
i took these photos an hour ago while i was stuck in a traffic jam.
28ddd99d66f012a62244d8aa176d10ab.jpg
144a5d55126682ddc5439b803062a7cb.jpg
5c373e85a2f3fa54454b1d5cb9f2f098.jpg
841d100ef3d3797b87779944e9fc64d8.jpg
1d0825ef2b43f34b8a911bf6663f5462.jpg
Sawa tumeona, utashindia kitu kimoja toka asubuhi?
 
Sawa tumeona, utashindia kitu kimoja toka asubuhi?
hatushindii kitu/mlo mmoja.....tanzania's soil is very fertile....we cultivate different types of food crops.
we're a blessed nation.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji106]
watu wa mashinani wa LDC wanapenda kutuma salamu kenya.
b0d61f047654a83d41b4c89b06823a79.jpg
896a5c0d81545e62b0bbfbb4a98da858.jpg
4c366791eeaa3a9176cfbf2774bde145.jpg
0be3233146a5092971f0561b5e94c7ca.jpg
ef6c5ced2100b7bda28bca693fc09084.jpg
57c30c8dae7ccb45ad75988f4d4eed4c.jpg
e18bc50012b7a8f56a86dc2517bdae45.jpg
8b6d9ce1474186af15e2fbb73f3f8680.jpg
706f39a1bc8bc8b97ff72d24e321b835.jpg
 
A shot of Nairobi from 60Km Away, Kiambu
DCas2o4U0AQIgtf.jpg
mtu mwenye njaa naona baada ya kuchapwa na njaa kwa siku kadhaa umeamua kurejea JF.

tuliwaambia hata mzunguke nairaland,JF haikwepeki,mtarudi tu.jf ni nyumbani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nyota wa soka wa England Wayne Rooney, ambaye amekamilisha uhamisho wake kutoka Manchester United na kurejea Everton amesema anasubiri kwa hamu sana kuzuru Tanzania.

"Naisubiri sana kwa hamu na ghamu (safari ya kwenda Tanzania) - inafaa kuwa safari nzuri," aliambia evertontv.

"Itakuwa nzuri sana na natumai kwamba nitaweza kuingia uwanjani na kucheza.

"Huwa vizuri sana unaposafiri na timu. Ni vizuri kuwa hotelini na wachezaji, kujumuika nao na kuwafahamu zaidi.

"Sijawahi kwenda Tanzania, na kwa hivyo nasubiri sana kwenda huko."

BBC Swahili


Sent from my itel it1516 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom