Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya Buses
Dayah Express. Hahahahaha!!

MAZ111102445.jpg

img_00000448.jpg

img_0868.jpg
dayah express mara nyingi husafiri kwenda lodwar mpaka "kakuma" turkana county.

ni moja ya safari ngumu sana niliyowahi kusafiri kwa gari nikiwa kenya.

barabara ni mbovu sana.pia mda wote abiria wanakuwa na hofu ya kutekwa na bandits toka kabira la pokot au kutekwa na alshabab since owners wa dayah ni wasomali.

dah!!umenikumbusha mbali sana annael.asante sana.
 
Kama zile zenu za kuingilia dirishani

Sent from my SM-G316HU using JamiiForums mobile app
true experience... will never forget it in my life.

dayah express mara nyingi husafiri kwenda lodwar mpaka "kakuma" turkana county.

ni moja ya safari ngumu sana niliyowahi kusafiri kwa gari nikiwa kenya.

barabara ni mbovu sana.pia mda wote abiria wanakuwa na hofu ya kutekwa na bandits toka kabira la pokot au kutekwa na alshabab since owners wa dayah ni wasomali.

dah!!umenikumbusha mbali sana annael.asante sana.
 
Kenya Buses this is 2015

maralal-safaris.jpg

7.%2BMaralal%2B%252885%2529.JPG

This 2013 hapa chini:-
1.jpg

image.jpg

Huu ni usafiri ukitoka nje ya Nairobi.
Mabasi mazuri kidogo ni ya kenda Mombasa kwingine ni hatari sana. But Tanzania nchi nzima standard ni ile ile hata uende mkoa upi utapata mabasi yale yale by Dar COACH.
 
Back
Top Bottom