Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nicxie yani unafananisha nyumba za dar tena nzuri zenye ubora na zina nafasi ya kutosha πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

yani uwe na akili zaidi kuliko mzungu mwenye sattelite πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unakumbuka time flani mwaka jana ukikana hii picha ya Kipawa Ward Dar na kusema si Dar?

Bado utaendelwa kuikana leo pia? Ona hizo nyumba nzuri za kupendeza macho tena zenye ubora ya hali ya juu zilivyopangwa zikapangika! Kisha angalia jinsi kuna nafasi ya kutosha hadi watu wameegesha magari zao nne ya milango zao. Maisha uswazini inapendeza jamani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…