Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π πTest !????...we chizi nini!!!..hizo hadi kuzitumia tumewahi,in short tunamiliki hizo machine tangu miaka ya 70
so lost Annael.,Tangu 2017 mapambano yanasonga mbele. Nimebanwa na kazi. But kuna project ninazisimamia nitawatumia picha.
KAZI IENDELEE
Lorry za Dangote ni dual yaani zinatumia both fuel and cng!Kwani lori za Dangote c zimeanza kutumia gesi mda tu?
Umebadili na id kaka!uwe unapita mara moja moja humu πTangu 2017 mapambano yanasonga mbele. Nimebanwa na kazi. But kuna project ninazisimamia nitawatumia picha.
KAZI IENDELEE
Wewe mpuzi sana, ati 70's?πππ Wacha kutema utumbo karibu na mimi! π€£ π€£ π€£ π€£ π π π Kanywe chai kibandani, naja kulipa, kilaza wewe! π¬πππTest !????...we chizi nini!!!..hizo hadi kuzitumia tumewahi,in short tunamiliki hizo machine tangu miaka ya 70
iko wapi road kama hii yenyu kwenye ardhi nyeupe nje ya Dar, even just in a second city or third, sio 5th town like it is in kenya., ukipata nitag we compare notes. π πArdhi yenu inafanya paonekane pana muonekano unaokera machoni.
Very ugly city, jiji lina muonekano wa kuchoka choka hivi.., angalia public transportπ³, Mwanza second City.., aibu kwa taifaππ
Inaonekana pale Ilala Kota,Kuna project kama ya Magomeni itaanza!!!Sijui mradi mzima unagharimu kiasi gani?!
View attachment 1834425
Hakuna anything more.., same area angles tu! π π π π π Tanzania!!!Kwa mara ya kumi amerudia hio mall na footbridge π π View attachment 1833393
3level..? Yani kidaraja cha wapita kwa miguu kupitiwa na hiyo overpass basi ineveuka kuwa 3levels?where is ichoboy?.. he told me to tag him if i ever happen to find 3level overpass in kenya. ako wapi hii ππView attachment 1832990 View attachment 1832989
Unatakiwa uwe makini sana mpaka kumuamini MkenyaMzee unatuletea picha ya Kathipara India. Naona wakenya mnaweweseka sana. Mbona mnateseka sana shida ni nini!?
View attachment 1833010View attachment 1833011
BRT za 'white-off' π€£ π€£ π€£Very ugly city, jiji lina muonekano wa kuchoka choka hivi.., angalia public transportπ³, Mwanza second City.., aibu kwa taifaππ
View attachment 1834455
Nyie ndio wa kuaminika ati? Mnabandika picha za Haiti na Cameroon hapa, eti ni KE.. π π π π π π π Tunawaonea 18 dadeq! π€£Unatakiwa uwe makini sana mpaka kumuamini Mkenya
Ultra-modern Lounge & Pub at the Kigoma International Airport...Yaani international stadium VIP wanakalia viti vya ofisini na fans wanakaa kwa zege???...wonderful
Nairobi mombasa and kisumu dont forgetNo.1, 2, and 3 iko wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]