Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Nimeimba hapa, prove that, nifunge acc, huwezi! Kumbe una umama ndani yako ukiwa na hasira? 😂 😂 😂 😂Mwanajeshi kufa vitani ni kawaida.ila wanajeshi kubakwa kama wa Kenya sio jambo la kawaida.hao wa Mtwara walivamia kijiji usiku uliza kilichowakuta mpaka leo hawana hamu ya kurudi Tanzania.congo jeshi la Tanzania ni kati ya jeshi lililofanya vizuri kazi yake mpaka tukawaondoka k 23.