Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ikifika kwa mambo ya aviation Tanzania ni zero flat.

tapatalk_1624786458954.jpeg
tapatalk_1624786456408.jpeg
 
Bro kunakuwanga na ka dot in between the dates na hiyo picha haina meaning chances are its doctored hata magufuli they tried to hide the info
Tweet uliyo share humu, inaonesha aliyepost hiyo tweet akishangaa chopa ya M7 imefata nini kenya!

Na wewe ukaamini kuwa hiyo chopa hapo ipo Uganda na ndio maana ukashare humu.

Wakati hiyo chopa ipo Uganda na hiyo picha ilipigwa tarehe 5 june yaani wiki karibu tatu zilizopita.

Mnapenda fake news kuliko kupambana na njaa inayowatandika kila mwaka.
 
Naona umechoka sasa. Umegeuza kuleta picha za ajari.
Naanza kukuumbua sasa. Niambie ipo wapi hapo ya Tanzania
1624788779966.png



1624788866245.png



1624788917765.png
 
Juzi mumebakwa Mtara na alshabab,pia Congo na Adf.militia nyinyi!View attachment 1831818View attachment 1831819
Mwanajeshi kufa vitani ni kawaida.ila wanajeshi kubakwa kama wa Kenya sio jambo la kawaida.hao wa Mtwara walivamia kijiji usiku uliza kilichowakuta mpaka leo hawana hamu ya kurudi Tanzania.congo jeshi la Tanzania ni kati ya jeshi lililofanya vizuri kazi yake mpaka tukawaondoka k 23.
 
Back
Top Bottom