Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wagonge pale panapo uma zaidi.
hakikisha kisu cha ngariba kinaingia mahala pake sawia.
 
jana baada ya kuwapiga kile kigongo cha unemployment, mida hii wameamua kukaa kimya bila kuweka comment ili wakirudi baadae wadai walikuwa busy ilhali sio kweli.janja ya nyani kula hindi bichi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dar coach, nawaona wakenya wanaumia kweli hawataki haya mambo yatokee TZ













 
kuwa mpole..........naimani hata nairobi yenyewe haujawahi fika......tunajadili hii mijadala hapa wengi wao tunapajua nairobi.......sisi tunadeal na uhalisia hatudeal na picha kwani ule ni ulembo tu waweza piga picha ukiwa angle nzuri na kibaya kikaonekana kizuri.......hivyo wewe pita tu hsujajua maana ya hii thread
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…