Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inaonekana haujui Historia, Historia ya lugha ya kiswahili na kiswahili chenyewe pia haujui.. Usijali haujachelewa kujifunza, Mimi ni mwalimu kabisa wa hizo vitu ntakufundisha buure, sitakutoza ada kabisa.. nitafute private ukiwa na free time nikufundishe historia ya Sultan wa Znz pamoja na historia ya kiswahili..
 
Hehehe!!taarab zishaanza hku..
Watueeee[emoji1787][emoji1787]
Kuna mtu ana historia yake kuhusu kiswahili[emoji848][emoji848]
Pumbavu kabisa[emoji2960][emoji2960]
 
Hehehe!!taarab zishaanza hku..
Watueeee[emoji1787][emoji1787]
Acha kujichetua, nakwambia ukweli, mimi najua lugha ya kiswahili kwa upana wake, ukiachilia mbali kwamba kiswahili kwangu ni mother tongue (my 1st language) lakini pia kiswahili nimesoma mpaka chuo kikuu, ambapo from standard 1-7 kiswahili ilikua ni lugha ya kufundishia (language of instruction) na Somo, lakini from form 1-4 nimesoma kiswahili kama somo, mwisho from form 5-6 nimesoma HKL .yani H=History K=Kiswahili L=Linguistic .. hii inatosha kabisa Mimi kuwa mwalimu wako. Ntakufundisha History na kiswahili pamoja na historia yake Ili upunguze ujinga kidogo kama si kuuondoa kabisa.. NITAKUFUNDISHA BURE staki ada yako
 
Eti kiswahili ni mother tongue kwako[emoji1787][emoji1787]
Acha kuzunguka, km vipi fanya hivi! We niletee hyo historia yako ya kiswahili, hta mimi nimefundishwa kw kingereza tokea chekechea mpka chuo lkn hakuna siku utanikuta najisifia km nakijua kingereza sana..
Kw taarifa yako kiswahili kwetu pia mashuleni kinatolewa km somo, kwhyo usijione km we pekeako ndio umesoma kiswahili..

Nasubiria hyo historia yako tofauti na ile niliyoitoa km somo hapa, wenzako wamekimbia mzee[emoji1787][emoji1787]
 
Mwenzako anajisifia anakijua kiswahili cz ni chake na dunia inajua hivyo, ss wewe ujisifie unajua kingereza chako?
 
Kudadadeq km Eden wallahi, ndo mana tunaongoza EA kwa receipts kubwa from tourism sector [emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…