Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Niko hapa nasikiliza ngoma ya Mory Kante. YEKE YEKEE

Kilio kinanukiaa eeh kwa majirani mchina anachukua Mombasa...

Hapa watoto wa mjini wanasema wanaanza kutengenezwa na kufanyiwa masaji ili jambo likitokea wasife kwa mshituko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wapi Tony254 MK254 Nicxie

Hapa ndio naelewa Ile spidi ya kukimbiza gotwald na crane mbovu kutoka msa ilikuwa ni kuondoka na vichache angalau mbakie na mwalo wenu wa lamu. Polenii

Bro Geza Ulole hii naona ina qualify kabisa kuanzishia uzi wake.

 
 
Wacha usenge hakuna kitu kinachoitwa swara kwenye kamusi ya kiswahili kutoka Bakita.
Kiswahili chetu sio lazima kifanane ni kiswahili chenu mbaya. Huku Kenya mnyama huyo anaitwa Swara. End of story. Full stop.
komora096 wachana na hawa wajinga. Unapoteza muda wako bure. Hata kiingereza cha marekani hakifanani na cha Uingereza. Hatutalazimishwa kutumia kiswahili chao kibovu. Sisi tuna kiswahili chetu.
 
Sasa hii ndoto ndio unapost hapa? Ndoto ambayo haitawahi kutimia?
Mzee wa kuhesabu pesa za matajiri aka cashier aka Stivo Simple Boy.
Sisi ni matajiri tunataka tukupatie kazi uwe unahesabu pesa zetu. Tutakupa unga kilo mbili kila mwisho wa mwezi.
 
Tony254 aka Stivo Simple Boy umekula kweli!? Naona umehamia kwenye kiswahili.
 
Kwahiyo jeshi linakaa mjini au sio [emoji3][emoji3][emoji3]

Huyo huwa anajibu tu hafikirii hata [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 mhurumieni kaanza kuchanganyikiwa anakwambia hakuna kitu from the ground
 
Hauwezi kushinda hii mada sababu iko juu ya uwezo wako wakufikiria, teremsha chupi nikuchome πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ 🀣 🀣 πŸ’‰ πŸ’‰ πŸ’‰ View attachment 1825967
Hebu angalia ulivokua mwehu wa level yakipekee πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ tumia macho tu wala usitumie nguvu hapo ground iko wapi alaf tazama na hii ground iko wapi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…