Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂 We ni wakuonewa HURUMA .. pole .. ni kichaa pekee ndio anaweza kuendelea kujibizana na mpunga kama wewe, umekula lakini.?
 
Sure, kumbe hii haiko Kenya!!!??
Mii ndiyo maana nawaogopa hawa jamaa kina Tony254. Ni waongo waongo sijapata kuona.
🤣🤣🤣🤣🤣 ipo ethiopia walikua wanadanganya nayo hapa kama kawaida yao wamekosa three level sasa wanaforce two level na yenyewe iitwe three level
 
Waambie wazazi wako baby ninakuja kukuchukua. Nitawasaidia wote na mtaondokana na umasikini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]maskini wana tabu sana, yani nyege kidogo tu unajikuta tajiri, je ukitiwa kidole si utajiskia wa sayari nyingine kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] We ni wakuonewa HURUMA .. pole .. ni kichaa pekee ndio anaweza kuendelea kujibizana na mpunga kama wewe, umekula lakini.?
Yani unalalama mpka unatia huruma[emoji1787][emoji1787]
Tatizo sio mimi, R na L ndio zimeleta yote haya
 
Hata nyumba au jengo. Likiwa na basement + ground +1st floor/plan/level hatuiti 3 storey building. Tunaita double storey building.
Kuna tofauti ya storey na level, msije mkajichnaganya bure[emoji1787][emoji1787]
Ndio manake jengo hata liwe la ghorofa sitini haliwezi likasemekana ni la level sitini la!! bali unaeza sema "60 floors above the ground level"
 
Hata nyumba au jengo. Likiwa na basement + ground +1st floor/plan/level hatuiti 3 storey building. Tunaita double storey building.
Yani ni vitu vinahitaji akili ya ziwa la mama tu linatosha 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…