Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatari baba [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Shida ni kwamba nyie hamna hivyo vyote ulivyotaja ila cc Tz tunavyo baadhi au nasema uongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa onesha ya kwenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na huyo anaye copy ana hela kukushinda! So anafanya anavyojisikia! [emoji51][emoji51][emoji51]
Pesa isiyoonekana, pesa inayoshindwa kwenda na kasi ya dunia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pesa inayojenga vitu vya 80s, pesa gn unaongelea ikiwa mnashindwa kujenga km 5 za road mpk mkajiaibishe Europe [emoji3][emoji3][emoji3]
Sisi ndiyo tuna pesa tunajenga miradi mikubwa EA kwa pesa ya ndani, nyie ni mikopo all the way, mpk ss hakuna mradi mkubwa hata mmoja GoK inajenga kwa pesa yake, ss cjui tax mnalipa za nn [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo skyscraper yako ya kisasa iko wapi, nionyeshe nifunge acc sahi tayari, boya na huna kitu. 😂 😂 😂
 
Nini hii wakenya 👇👇👇bado tu tribalism inatafuna nyama zenu, huyo muanzilishi wa taifa kazi yake ilikua kuiba ardhi tu na sio kuweka mambo sawa
 
Deni hulipwa na nini km sio hzo kodi, nyie majamaa wa uniqueness mna tabu sana[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…